FaizaFoxy na magamba wenzio nijibuni...

Ama kweli FaizaFoxy ni "MWANAMKE WA SHOKA" kama mwenye wanavojiita celebrity namuba moja wa JF! maana haipiti siku bila kumzungumza ! ...ha ha ha mwanamke anawachemsha ! mama kaza buti , waoneshe wanawake sio wa kuwachezea !

Hivi hata mtu akikuuliza unachoshangilia hapa unaweza kujibu? FF kafanya nini la maana zaidi ya kuongea utumbo. Sijui kama kuna mwanaume mwenye akili mbovu aoe mwanamke kama wewe, labda awe hakujui. Manake huu ushangiliaji wako ni dalili za umbea na sio zaidi.
 

Umenena mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…