Faini za Barabarani

Faini za Barabarani

amigod

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2018
Posts
345
Reaction score
264
Habari za jioni wana JF, kwa mpigo mwisho juma umeanza Mungu atuvushe salama.

Nianze moja kwa moja somo adhabu za barabarani haziwezi kuendesha nchi zinawachafua tu polisi wetu na kutuwekea uhasama nao ni unyang'anyi usio na sababu.

Nchi hii itaendeshwa kwa miradi mikubwa kama chuma cha mchuchuma, chuma cha liganga, chuma cha pua. gesi Rukwa, shaba Dodoma - Kigoma, mpira Arusha, uranga Morogoro, makaa ya mawe Songea, ureniamu Songea nk.

Tumeshindwa kufikiri tu jinsi ya kuanza tunawaza kunyang'anyana vishilingi 30000 eti hujafunga mkandarasi, umevuka zebra bila kusimamia, umepita taa nyekundu kila kitu FAINI tu huo ni ushamba tu mshaurini mkuu aangalie hivyo vitu havijaguswa na mabeberu aanzie hapo atafikia malengo.

"FEDHA SIO MSINGI WA MAENDELEO" - FEDHA NI MATOKEO YA MAENDELEO. Acheni dhuruma
 
Kama wewe ni dereva rudisha leseni haraka sana, hujui sheria za usalama barabarani.

Acha kufanya hayo makosa uone kama hao trafiki watahangaika na wewe...
 
Kama wewe ni dereva rudisha leseni haraka sana, hujui sheria za usalama barabarani.

Acha kufanya hayo makosa uone kama hao trafiki watahangaika na wewe...
Nilidhani utajikita kwenye maendeleo zaidi yatakayo tukomboa sisi na vizazi vyetu kumbe nawe hamna kitu humo kabisa unaangalia mkate wa leo tu tz ipo kwa miaka mabilioni ijayo wanao watakuwa watumwa wa wachina amka tunaweza kuzuia
 
Back
Top Bottom