Mbona mtaani wapo wazee wahuni tu....inategemea na mtuYeah.....hapo maujanjaujanja ya kutembea kwa mikogo ya ujana kwa heri.Ni full kutembea huku unaitafakari nchi tu na kucheza na wajukuu.
Bado anakuwa hajazeeka vizuri au kazeeka sana hadi amerudia tabia za kitoto ambazo hakuzifanya ujanani.Chunguza kwa umakiniMbona mtaani wapo wazee wahuni tu....inategemea na mtu
Au huyu mkuu ameandika kuhusu wale waitwao wazee kwa kuwa wana mahela?Jus' kidding!Inategemea na umri
Hapo sawaInategemea na umri
bado walau anajikongoja
Ila ukibahatika uzao wako ukawa fresh raha kuchek watoto, wajukuu, vitukuu na vilembwe wakikutembelea.Ila tiktak utaziangalia tu kwenye picha