Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,128
- 138,163
Wiki ijayo tunachukua Simba Queen,kombe la 4
Hili lilikua kwenye hesabu39' la 2 Bocco
Unaposema treble unamaanisha kombe la ligi kuu, kombe la Azam na kombe gani lingine zaidi ya hayo mawili?Tunachukua treble mwaka huu
Minyani fcNamungo 2 - 1 Mbumbumbu fc
Ngao ya jamii..Unaposema treble unamaanisha kombe la ligi kuu, kombe la Azam na kombe gani lingine zaidi ya hayo mawili?
na Mume Halali wa YangaNa simba ndio bingwa wa fa tanzania woyoooooooooo[emoji3]
Zimebaki dakika kadhaa kipute kianze
Simba 2 namungo 1
Zimebaki dakika kadhaa kipute kianze
Simba 2 namungo 1
2-0 konde boy zote
Namungo 2 - 1 Mbumbumbu fc