Faili halionekani

sio mwanasiasa mkuu,labda uniambie kama mbunge wa ccm
Umenikumbusha waziri wa nchi ofisi ya baba Riz, ugawaji wa juice na maandazi, alipokuwa jimboni kwake badala ya kuelezea faida za katiba ya serikali mbili anaishia kusema CDM wabaya wakati hawajaanza kumkaba koo kama mwanae Easter.
 
Asante sana jirani. eti halionekani!!!!!? tatizo tipi. kwani wenyewe wanakula sura na mafaili? tena toa tip haraka ili mshahara wa kima cha chini uwe kima cha juu.

hajui sasa mwenzetu
 
Umenikumbusha waziri wa nchi ofisi ya baba Riz, ugawaji wa juice na maandazi, alipokuwa jimboni kwake badala ya kuelezea faida za katiba ya serikali mbili anaishia kusema CDM wabaya wakati hawajaanza kumkaba koo kama mwanae Easter.

hahaha ni wanafiki balaa
 
Kozo Okamoto hivi sasa ni sa 15:34 mrejesho plz kama kunyonga dakika nne tayari zinatosah aua kama ni fail limepatikana... au kama ni kuchukua sick sheet umeshapata... please Kozo Okamoto mrejesho

nimewaachia msala kwa bosi.nimebeba sicksheet yangu,niko kwa njia naelekea kwa swahiba wangu amana anipe ma ed ya kutosha.wiki hii ofisini basiiiiiiiiiiii
 
Mnasainiwa kazi za bilions of money;
Mnakula pesa pekee yenu,
Ngoja kwanza ujue watu wanavyotakiwa waishi mjini.

bilions wapi dadangu,vijisenti vya kubadilisha mboga tu na kuongeza lita kumi za fuel kwa ki starlet changu.
 
ha ha ha ha mimi nimeshaanda rambirambi kabisa nasubiia tu mrejesho bado dk 35 tuletewe mrejesho na Kozo Okamoto either tanzia au fail... still waiting..........................

nimewaacha nimesepa wakiwa hawana cha kumjibu bosi wao.mi na ka sicksheet kangu ndo hivyo tena
 
Hawakeri hata kidogo kaka Kozo Okamoto.tatizo unaenda na sura kama unachorwa tatuu unafikiri watakuelewa hao nguchiro?? nenda na mtama ule mtamu mtamu wanauita serena au lulu kama faili hutaliona ndani ya sekunde kumi na nusu.

mbona mi handsome boy wa familia mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…