Faili halionekani

wanataka rushwa wewe hujui mchezo wewe... hapo mpaka atoe kitu kidogo

Miss Chagga it there ? it no see long time. It want Kozo to give something small when file is maintain digital. Many oficce it use computer why not Mr. Kozo office ?
 
Faili halionekani maana yake ni toa kidogo.

Ukishakitoa utashangaa mwenyewe jinsi litakavyopatikana kwa haraka.

Hii tabia ipo sana mahakamani...hususan zile za mwanzo na wilaya.
 
Kabla hhujanyonga mtu. Hebu badili hilo jina lako. Kozo okamoto ni tusi kwa kisambaa

likiwa na maana gani kama ni tusi?basi nitaanza kujiita kozo okagegedo,kama okamoto linakukwaza
 
Miss Chagga it there ? it no see long time. It want Kozo to give something small when file is maintain digital. Many oficce it use computer why not Mr. Kozo office ?

mimi sidhani kama upo sahaihi lakini any way ndio hata huko digital halionekani system ipo chini.... umesema many office but not all office so among ambao hazina digital ni pamoja na ya Kozo Okamoto
 
Faili halionekani maana yake ni toa kidogo.

Ukishakitoa utashangaa mwenyewe jinsi litakavyopatikana kwa haraka.

Hii tabia ipo sana mahakamani...hususan zile za mwanzo na wilaya.

mkuu,siwez kutoa changu mfukoni,fail ndo lina mambo yote.walishughulikie,mpunga utoke niwakatiepo but hii ya kutoa kabla haipo mkuu
 
Mbinu za kuhitaji faili masijala.
1. unatoa salamu
2. unajichekesha
3. unamsifia kidogo
4. unaanzisha kastori kidogo kilingana na haliiliyopo mahali hapo
5. kwa upole unaomba faili.
 
mkuu,siwez kutoa changu mfukoni,fail ndo lina mambo yote.walishughulikie,mpunga utoke niwakatiepo but hii ya kutoa kabla haipo mkuu

inaonekana wewe ni mbahili ndio maana hawakutolei fail haraka
 
inaonekana wewe ni mbahili ndio maana hawakutolei fail haraka

sio mbahili,huwa nafuata principles tu,kwa kuwa faili ndo lina hela,basi lishughulikie hela itoke ndo nikukatie,sio nikate kabla ya kazi.chacharika uone mazuri
 
Mbinu za kuhitaji faili masijala.
1. unatoa salamu
2. unajichekesha
3. unamsifia kidogo
4. unaanzisha kastori kidogo kilingana na haliiliyopo mahali hapo
5. kwa upole unaomba faili.

Kizaizai mpe somo huyu mjapani KOZO OKAMOTO jina lake baya halafu anaingia ofisi ya wamama waliovaa mawigi ya kizamani na sketi fupi halafu anawapa shikamoo. anafikiri shikamoo inaliwa. Angeanza na HABARI GANI WAREMBO faili lingetoka fasta na mida hii angekua amechukua mpunga na kuelekea ROSE GARDEN
 
Mbinu za kuhitaji faili masijala.
1. unatoa salamu
2. unajichekesha
3. unamsifia kidogo
4. unaanzisha kastori kidogo kilingana na haliiliyopo mahali hapo
5. kwa upole unaomba faili.

mwanamme tena nijichekeshe mkuu?mbona nitaonekana kiazi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…