Faida za uyoga kwa Binadamu

Faida za uyoga kwa Binadamu

Mjengajiafya

Member
Joined
Feb 2, 2023
Posts
58
Reaction score
44
Uyoga umekuwa ukitumiwa kwa miaka takribani 400 iliyopita katika kutibu magonjwa mbalimbali ya mwanadamu hasa katika Falme za kichina walitumia sana uyoga mwekundu kujitibia. baadhi ya kazi za uyoga ni

[emoji93] Huongeza Kinga mwilini ( Unapandisha CD4)
[emoji93] Ni nzuri kwa wenye shida ya homa ya ini
[emoji93] Ni nzuri kwa waliokuwa na shida ya kutanuka kwa Moyo
[emoji93] Huongeza nguvu Mwilini
[emoji93] Nzuri kwa wenye shida ya shinikizo la damu
[emoji93] Nzuri kwa wenye shida ya Kisukari
[emoji93] Huondoa Sumu mwilini
[emoji93] Huondoa uvimbe mwilini
[emoji93]Huondoa goita ikitumika na Zaminocal plus
[emoji93]Ni nzuri kwa wenye shida ya Figo
[emoji93]Huongeza uwezo wa mwili kutengezeneza damu
[emoji93]Huimarisha seli za ubongo hivyo hudhibiti hali ya kusahau
[emoji93]Huimarisha macho
[emoji93]Huongeza nguvu za kiume
[emoji93]Huondoa vimelea vya Saratani
[emoji93] Huimarisha ngozi yako
[emoji93] Hutibu magonjwa katika mfumo wa upumuaji
[emoji93] Hutibu Ugumba
[emoji93] Huondoa changamoto ya kukosa hedhi
[emoji93] Huondoa hernia Aina zote ikiwa na Yunzhi pamoja na ( novel au Prostatrelax capsules) kulingana na eneo ilipo na kwa jinsia husika
[emoji93] Hujenga Kinga ya mwili dhidi ya magojwa mbalimbali
[emoji93]Huukinga mwili dhidi ya virusi
[emoji93]Inazuia cancer (saratani)
[emoji93]Huzuia maambukizi ya bacteria

Uwe unaumwa au huumwi uyoga ni kitu sahihi na Ni muhimu kutumia

Kutokana na uhaba wake timu ya wataalamu wa mimea wameweza kuuchuja na kufyonza vizuri na kuweka katika mfumo wa vidonge, hivyo kuwa rahisi kwa mtu kuupata.

Mtu atumiapo vidonge hivi huweza kutatua matatizo mengi ya kiafya, na kuongeza kinga ya mwili hasa kwa wenye kisukari, wanaougua maradhi ya ukimwi na matatizo ya Figo na ini
View attachment 2514425
images%20-%202023-02-12T101153.214.jpg
 
Maajabu ni nini?

Unajuaje hili ni ajabu, na hii ni baiolojia ya kawaida tu?
 
Unapotumia neno "maajabu" una maana gani?

Ili kitu ukione cha ajabu inabidi kiwe na sifa gani?
Kitu tunaposema ajabu ni kitu flani ambacho kinashitusha watu ndomana hapo wengine wameanza kusema nisumu kwasababu hawajui kwaiyo inaonekana kwao mi ajabu au maajabu " kitu flani watu wasichokijua au kisichoonekana kuwa chakawaida"
 
Kitu tunaposema ajabu ni kitu flani ambacho kinashitusha watu ndomana hapo wengine wameanza kusema nisumu kwasababu hawajui kwaiyo inaonekana kwao mi ajabu au maajabu " kitu flani watu wasichokijua au kisichoonekana kuwa chakawaida"
Kwa hivyo mimi nikikukuta unaangalia kaskazini, nikaja kutoka kusini, kwa namna ambayo hujaniona ninavyokuja, ukaniona ghafla na kustuka, kwa sababu umetoka kuangalia sinema ya kutisha, hilo ni ajabu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom