chukulia wanasheria waanze kuingia upolisi (baada ya kukosa kazi za sheria).mambo ya kupigapiga watuhumiwa yatapungua sana.3. Utapeli uliokwenda shule, wizi wa kimtandao unaotumia mbinu za hali ya juu utaongezeka
4. Polisi wenye degree watakuwa wanalinda mabenki, kuongoza misafara ya magari barabarani
5. House girl na shamba boy watakuwa na degree. Mshahara usiniulize
chukulia wanasheria waanze kuingia upolisi (baada ya kukosa kazi za sheria).mambo ya kupigapiga watuhumiwa yatapungua sana.
mkuu tunaweza kabisa kugeuza ukosefu wa ajira kuwa fursa ya kusonga mbele. signature yangu inasema coal under pressure becomes diamond. kukosa ajira ni pressure ambayo inaweza kutufanya to do our best.Umenikumbusha UB 40 ya UK ilivyoanza.
kama watakuwa wanaleta challenge zenye mashiko hiyo nifaida kwa nchi. we unapenda nchi ya watu waliokaa na kuridhika?, hakutakuwa na ujinga ujinga. ngoja nikwambie kitu, zamani mtu akiwa msomi na baada ya kupata kazi anajitenga na wananchi wa kawaida na kwenda daraja jingine la watawala. lakini sasa wasomi watakuwa na wananchi wa kawaida na watakuwa nao pamoja katika kudai haki zao na kuorganize mipango mbalimbali kisomi. huoni hilo ni faida. fikiria6.kutawala nchi itakuwa vigumu sana kwa viongozi wakaokuwa madarakani coz nchi imejaa wasomi na challenge ztakuwa nyingi,ebu jaribu kucheki saiz bungeni unaproof enyewe! Hiyo pia ni faida!
3. Utapeli uliokwenda shule, wizi wa kimtandao unaotumia mbinu za hali ya juu utaongezeka
4. Polisi wenye degree watakuwa wanalinda mabenki, kuongoza misafara ya magari barabarani
5. House girl na shamba boy watakuwa na degree. Mshahara usiniulize
Kuna baadhi ya watu shule huwa haiwasaidii kabisa. Reading between the lines, unaona kwamba ni dhalili mtu mwenye degree kuwa polisi na kuongoza magari barabarani. You are talking as if ukiwa na degree unakuwa next to God.
Watanzania tuache UPUMBAVU. Degree ni kiwango cha elimu na sio UTUKUFU. Akili za kipumbavu za namna hii ndio zinainyima kazi thamani katika nchi yetu. Kama huyu anaamini kuwa polisi ni lazima uishie kidato cha 4 basi hatutakuwa na polisi wenye uelewa mkubwa na haya tunayoyaona tutaendelea kuyaona kwa kuwa tunaamini Mwalimu ni yule aliyekosa nafasi kwenye kada nyingine kwa kuwa maksi zake hazikutosha.
Mtu mjinga namna yako hata akiwa na PhD, hawi productive kwa kuwa anaamini analipwa mshahara kwa PhD yake na sio kwa uzalishaji wake. Amsha kichwa bwanamdogo