Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 20,993
Kila jambo lina faida na hasara zake.
1. Kwanza vijana wengi wataanza kupata mawazo ya kujiajiri. Baada ya kazi kufurika vijana wengi wataanza kutafuta njia mbadala ya kujipatia kipato na kwa mtindo huo ubunifu na uzalishaji nchini utaongezeka sana (ukizingatia nchi yetu ina opportunity za kutosha.)
2. Huduma bora kwa bei chee, sasa hata vijiji vilivyokuwa vinakosa wataalamu vitapata. Kutakuwa na watendaji kata wenye degree, madaktari wenye MD watapatikana kwenye vituo vya afya na zahanati.
Walimu wenye degree watafundisha primary na maduka ya watu binafsi yatakuwa na wahasibu wa degree. yote hayo yataongeza ufanisi wa kazi nchini na bidhaa/huduma zetu zitakuwa na ubora sana.
Anaezijua zingine aongezee.