Namba mbili tu ndo nakuelewa... Hayo mengine kwangu naona ni kama makorokocho tu...1.Huzalisha Pheremones ie halufu nzuri ya mahaba kwa wapenzi
2.Hupunguza msuguano sehemu za siri
3. Hunasa baadhi ya bakiteria hatari wa STIs
4.Huongeza msisimuko wa mapenzi kwakuwa zina neurones nyingi
5.Hulinda kiwango cha joto sehemu za siri,ili mbegu zisiathiliwe na joto
NB:Tunza garden yako,usiikate yote mara kwa mara
Sijasema hujafafanua... HATA POROJO NAZO HUWA ZINAFAFANULIWAMbona nimefafanua vizuri tu!!!!!
Picha ya ninMkuu..weka kapicha....[emoji23] [emoji23]
Pubic hairsPicha ya nin
Piga picha ya pubic hair zakoPubic hairs
Siyo kufuga raster,unatakiwa kuitunza bustan yako,lakini pia usitumie mashine za kunyolea za salun,usitumie spirit sehumu za siri,ile mashine inajoto kali,utaua mishipa na cells maeneo hayo,tumia mkasi,baadae usije anza kulialia pale mishe itakapoanza kufail,au kuchemka ovyo kwa ke,please,take it!!Kwahiyo umepitisha mwendo Wa urasta kila sehemu.