Mimi sina na sitawahi kua na ndoto hizo Mimi ndoto zangu pepo tukufu ya Allah, hapo nitakwenda Kama nitahitajika sababu maalum yaan ni Kama ambavyo nakwenda mwnz,,dodoma au sehemu yeyote nikiwa nashida iliyonipeleka Huko. Hayo maziwa na asali ya dunian wew ukiyafuata inatosha