Phinenicke
Member
- Nov 21, 2014
- 15
- 3
Habari wana Jf.
naomba kujua faida zinazopatika na kujiunga na M pawa? pamoja na a/c za mitandao mingine pia kama tigo na Voda,mnaojua naomba mtuelimishe kwenye hili.