Faida za kuzaa watoto wengi ni zipi?

Faida za kuzaa watoto wengi ni zipi?

tpmazembe

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
2,469
Reaction score
588
Wadau embu nipeni faida za kuzaa mara kwa mara maana mwenzi wangu ananiambia nimpe mimba angali tuna mtoto na naona garama huwa zinakuwa kubwa kidogo toka ujauzito mpaka mtoto kufika 2yrs. Je mnanishaurije wadau. nimpe kitu au nimwambie afate family planing?. mtoto wetu wa kwanza ana 3yrs.Je kuna faida gani ya kuwa na watoto wengi?
 
Watoto wengi wa nini? Sanasana watakuletea vurugu tu ndani ya nyumba pamoja na wewe kushindwa kuwapatia maisha bora.
 
faida kwa mzazi ama faida kwa watoto??

jambo la msingi mtoto akizaliwa inabidi apate mahitaji yote ya msingi ikiwemo elimu ya juu kabisa!

vinginevyo usizae kabisa kwa sababu utakuja kuongeza idadi ya watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu...
 
Kipindi hicho kabla dunia haijavaa miwani ya jua ilikuwa ni sifa katika jamii kuwa una nguvu kazi ya kutosha katika familia. Kwa sasa dunia itakushangaa haijalishi hata kama unao uwezo wa kuwahudumia, mambo yamebadilika.
 
cjui nyie mmejipanga vp ktk kupishanisha watoto kwa miaka mitatu ni sawa
 
Wadau embu nipeni faida za kuzaa mara kwa mara maana mwenzi wangu ananiambia nimpe mimba angali tuna mtoto na naona garama huwa zinakuwa kubwa kidogo toka ujauzito mpaka mtoto kufika 2yrs. Je mnanishaurije wadau. nimpe kitu au nimwambie afate family planing?. mtoto wetu wa kwanza ana 3yrs.Je kuna faida gani ya kuwa na watoto wengi?
Unamiliki shule?
 
Kumbe mkuu tpmazembe una mtoto sikutegemea kama ungetoa maneno kama yale eti mtu aliejifungua mtoto wa kike hastahili pongezi dah may God forbid this. Mtoto ni mtoto najua kwa wanaume sisi tunapenda sn baby boy bt we should remember that there are many people who needs children bt they lack ability ya kuzaa so tunatakiwa tumshukuru Mungu kwa kila kitu.
 
Last edited by a moderator:
Achilia mbali kuwa na hao wengi pia hata huyo mmoja nilazima uwe na mipango na malengo maalumu ya uwepo wake vinginevyo ni ujinga kuwa na kitu usichokua na uhitaji nacho (malengo nacho) sasa hapo ndipo linapokuja jibu lako la kuwa na ulazima wakua na idadi kadhaa ya watoto au laa .

jibu jepesi ni kwamba kabla hujaoa / olewa jiulize unataka mwenza wanamna gani ? kwa ajili ya nini? je !mnauwiano kimahitaji ?( in general ) kuhusu mahitaji ya kimwili , kiroho na kijamii , ni vyema pia ukajiuliza unaoa ili iwe nini? kwa aajili ya starehe tu au starehe na family ? au kwa ajili ya kuanzisha family tu kama ni family ni ya binaadamu wangapi na utanufaika nao vp au nini sababu yamsingi ya kuwa nao ?ukijikuta huna sababu ya kuwa nao sio lazima kuwa nao ila hakikisha mnafanana na mwenza wako kimtazamo vinginevyo inaweza kukuondolea amani nyumbani .

mimi ni baba wa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka 7 na nitafikiria kuleta mwingine baada ya huyu niliye nae kufikisha miaka 10 na mke wangu ameniahidi ushirikiano wakati ukifika.
 
Wadau embu nipeni faida za kuzaa mara kwa mara maana mwenzi wangu ananiambia nimpe mimba angali tuna mtoto na naona garama huwa zinakuwa kubwa kidogo toka ujauzito mpaka mtoto kufika 2yrs. Je mnanishaurije wadau. nimpe kitu au nimwambie afate family planing?. mtoto wetu wa kwanza ana 3yrs.Je kuna faida gani ya kuwa na watoto wengi?
Kama ni family planning basi watoto hutakiwa wapishani miaka 3 sasa khofu ya nini? ukimjaza sasa hivi basi watapishana zaidi ya miaka 3.5 huyo mama yuko right mpige bao jengine usiogope gharama kila mja ana rizki yake
 
Watoto wengi ni wa ngap?

aoa.jpg

DSC00159.JPG
 
Wewe unamtoto 1,Mimi nina7,patokee maafa yoyote, nani atahadhirika. Jibu unalo kabisa hao wazungu wanakukremisha upuuzi. Hii post yako itume china,fanya utafiti jibu Lipo wazi
 
Wadau embu nipeni faida za kuzaa mara kwa mara maana mwenzi wangu ananiambia nimpe mimba angali tuna mtoto na naona garama huwa zinakuwa kubwa kidogo toka ujauzito mpaka mtoto kufika 2yrs. Je mnanishaurije wadau. nimpe kitu au nimwambie afate family planing?. mtoto wetu wa kwanza ana 3yrs.Je kuna faida gani ya kuwa na watoto wengi?
Zipo faida nyingi, lakini kubwa ni kuwa mzazi wa watoto: mkeo yupo sahihi kabisa, usipuuze maneno yake lakini kuwa makini, Mimi nikiwa kijana aliyekwenda shule nina uwezo wa kumtolea sababu zifuatazo: 1.ANAWEZA AKAWA AMECHEPUKA NJE NA AKAWA AMEPEWA NA MTU MWINGINE SASA ANATAKA AKUKAMATISHE, HAKIKISHA HUMPI SASA HIVI, MPE BAADA YA MIEZI KADHAA NA KABLA HUJAMPA NENDA KAMPIME. 02.ANAWEZA AKAWA ANATAMANI KUPATA MTOTO MWENYE JINSIA TOFAUTI NA ALIYEPO 03.ANATAKA AZAE MAPEMA NA AMALIZE ILI APUMZIKE, HII SAA ZINGINE INASHINIKIZO KUTOKA KWA MARAFIKI ZAKE 04.ANAWEZA AKAWA AMEAMUA TU KUKUFANYIA SUPRISE KUONESHA ANAKUPENDA SANA 05.HAJAKUELEWA UNA MPANGO GANI? KAMA MTOTO ANA MIAKA 3 NA YEYE UMRI UNASOGEA HALAFU HUONESHI JITIHADA ZA KUMSABABISHIA......................... NIITE VON MO, SHULE SIYO MAKARATASI, SHULE NI UCHAMBUZI WA MAMBO KWA KINA, KUNA TOFAUTI KATI YA ULEVI WA POMBE NA SIGARA INGAWA SITUMII VYOTE KWA MPIGO, ....GUDLUCKY MEN
 
umpe mimba? unatumia family planning nini mkuu sasa mama anataka uache ili mimba iingie! au uwa unamwaga nje?

km anataka uwezo anao mwanamke wa kubeba mimba maana yeye ndo anajielewa vzr tarehe zake.
 
Anataka azaee haraka haraka apumzikee magonjwa mengii!!!
 
Kumbe mkuu tpmazembe una mtoto sikutegemea kama ungetoa maneno kama yale eti mtu aliejifungua mtoto wa kike hastahili pongezi dah may God forbid this. Mtoto ni mtoto najua kwa wanaume sisi tunapenda sn baby boy bt we should remember that there are many people who needs children bt they lack ability ya kuzaa so tunatakiwa tumshukuru Mungu kwa kila kitu.

Asante sana, kama ulikuwa kwa akili yangu! Huyu bwana alinikera sana aliposema eti watoto wa kike si kitu! Yaani huwa nikiona uzi wake basi nachefuka!!
 
Wadau embu nipeni faida za kuzaa mara kwa mara maana mwenzi wangu ananiambia nimpe mimba angali tuna mtoto na naona garama huwa zinakuwa kubwa kidogo toka ujauzito mpaka mtoto kufika 2yrs. Je mnanishaurije wadau. nimpe kitu au nimwambie afate family planing?. mtoto wetu wa kwanza ana 3yrs.Je kuna faida gani ya kuwa na watoto wengi?
Kama first born ni wakiume, basi endelea kuzaa mana hao ndo WATOTO ila kama mkeo amekuzalia mwanamke kataa kumzalisha bwana, atakuletea hasara tu nyumbani :behindsofa:
 
kama una uwezo mzuri kimaisha zaa watoto km kawaida usipazaa, utakuja somesha wa mtoto wa mjomba wa shangazi wa kaka na wengine wengi kwani uwezo siunao sasa bora ungekuwa umezaa wako tu mojakwamoja kuliko kulelea wa wengine!!
 
Back
Top Bottom