Faida za kuwa na kibali cha ujenzi

Faida za kuwa na kibali cha ujenzi

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
604
Reaction score
1,238
FAIDA ZA KUWA NA KIBALI CHA UJENZI

Kujenga nyumba ambayo imethibitishwa kitaalamu kuwa ni salama.
Kuwa na mazingira bora kwa kuwa na mji uliopangwa.
Kuepuka hasara na usumbufu unaoweza kutokea iwapo ujenzi umefanyika bila kibali ikiwa ni pamoja na kushtakiwa mahakamani kuvunjiwa na kulipa gharama za uvunjaji.
Kulipwa fidia iwapo jengo litabomolewa kwa sababu maalum.
Kuweza kupata mkopo kutoka Taasisi za fedha
Kama unataka tukusaidie kupata kibali cha ujenzi nichek 0743257669
 
Ok.je unaweza kusaidia kupata HATI ya WIZARANI. Bado sijapima
KAZI ni kipimo cha utu
 
FAIDA ZA KUWA NA KIBALI CHA UJENZI

Kujenga nyumba ambayo imethibitishwa kitaalamu kuwa ni salama.
Kuwa na mazingira bora kwa kuwa na mji uliopangwa.
Kuepuka hasara na usumbufu unaoweza kutokea iwapo ujenzi umefanyika bila kibali ikiwa ni pamoja na kushtakiwa mahakamani kuvunjiwa na kulipa gharama za uvunjaji.
Kulipwa fidia iwapo jengo litabomolewa kwa sababu maalum.
Kuweza kupata mkopo kutoka Taasisi za fedha
Kama unataka tukusaidie kupata kibali cha ujenzi nichek 0743257669
Beingani kibali na je ramani unachora pia?
 
Bila shaka unapiga kazi nchi nzima maana hujataja specific place ulipo
 
FAIDA ZA KUWA NA KIBALI CHA UJENZI

Kujenga nyumba ambayo imethibitishwa kitaalamu kuwa ni salama.
Kuwa na mazingira bora kwa kuwa na mji uliopangwa.
Kuepuka hasara na usumbufu unaoweza kutokea iwapo ujenzi umefanyika bila kibali ikiwa ni pamoja na kushtakiwa mahakamani kuvunjiwa na kulipa gharama za uvunjaji.
Kulipwa fidia iwapo jengo litabomolewa kwa sababu maalum.
Kuweza kupata mkopo kutoka Taasisi za fedha
Kama unataka tukusaidie kupata kibali cha ujenzi nichek 0743257669
Vibali si vikaratasi tu kama vitabu vya Yeriko
  1. Mbona maghorofa ya Kariakoo na Kisutu yalikuwa na vibali still yaliporomoka
  2. Miji mingi imejengwa kwa vibali lakini spacing kati ya nyumba na nyumba hata mitaa ni hovyo
  3. Kuepuka kuvunjiwa ni urasimu na kutaka rushwa
  4. Nilidhani ungeandika kuziambia mamlaka za vibali vya ujenzi kuwa warasimu na wataka rushwa
 
Vp kama Nikitaka kujenga fensi wakati najipanga, ni document Gani inahitajika kuombea kibali ? Ramani ya nyumba pia au ?
 
FAIDA ZA KUWA NA KIBALI CHA UJENZI

Kujenga nyumba ambayo imethibitishwa kitaalamu kuwa ni salama.
Kuwa na mazingira bora kwa kuwa na mji uliopangwa.
Kuepuka hasara na usumbufu unaoweza kutokea iwapo ujenzi umefanyika bila kibali ikiwa ni pamoja na kushtakiwa mahakamani kuvunjiwa na kulipa gharama za uvunjaji.
Kulipwa fidia iwapo jengo litabomolewa kwa sababu maalum.
Kuweza kupata mkopo kutoka Taasisi za fedha
Kama unataka tukusaidie kupata kibali cha ujenzi nichek 0743257669
Arusha?
 
Back
Top Bottom