Faida za kutunza bikra

Zipo na za kushonwa jamani ka operation kadogo tuu mtu unarudi kuwa bk wadada msiogope saana kama shida yao ni bikira tutazitafuta kuwaridhisha nyoyo
 
Nilihusiwa na mzee wangu nisioe isipokuwa ambae ni bikra. Namshkuru mungu nimeoa hivyo na aliyoyasema mtoa mada yote inawezekana ni kweli tupu. Wanawake ndio wanayajua ukweli wake though. In fact tunatakiwa tuoe bikra hususan kwa ajili ya point namba tatu ya mtoa mada
 
Sikubaliani na mleta mada kwani kutunza bikra kunafanya papuchi iote kutu na kuziba kabisa kama haigawiwi kuonjwa.
 
Jinsi ya kuitoa bikra....unakuwa mkariiiiimu huku unaendelea na yako taratiiibu......kweli maisha vipindi...kutoka kupiga blash mpaka breck mbupu.
 
Iyo point no 4.. Hapana, mzee mmoja jirani ananyumba ndogo na kaijengea bonge LA jumba kimara...kwa Mke wake was ndoa huwa anarud after 6 month ,akirudi full kumtukana,na tusi lake kubwa huwa anamwambia..WW SI NIMEKUKUTA BIKRA? SHUKURU MUNGU MM NIMEITOA BILA MM SI KINGEOZA IKO, na wamezaa watoto wanne..anamnyanyasa mkewe..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii kitu niliangalia kwenye YOUTUBE ,huko SOUTH AFRICA kina mama watu wazima wamejitolea kuwalea na kuwaelekeza mabinti thamani ya udichana wao.

Kina mama hao wanaelezea jinsi wanavyowapima hao mabinti na kutoa certificate kwa wale wanaohitimu na wasichana wanahojiwa wanaonesha furaha kubwa.

Kwakweli inapendeza maana hats mabinti wenyewe wanajisikia fahari kubwa mmoja alipohojiwa anasema ukikutana na mwanaume akijua wewe ni bikra akianza kukutongoza utaona anashindwa kukaa wala kusimama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…