1. unajifunza vitu vipya
2. chabo ni starehe kama zilivo starehe zingine
3. unaona makosa yalipo unajua jinsi ya kuyarekebisha hivo unaongeza ujuzi n. n.k
4. unajifunza kwani mtu anamg'ang'aniwa kama LUBA kumbe ni mauno
5. kwanini watu wanazama Chumvini
6. Ice cream Corn
7. Manjonjo ya nyumba ndogo (kulia km kinanda)
8. Style
wanatafuta stimu, zikipanda wanaenda kucheza mechi zao.
Mkuu, umenipunguzia majonzi ya kufungwa arsenal, nimecheka kinoma comment yako.Mi najua hasara tu za chabo,macho huaribika maana unakodoa sana
Mkuu, umenipunguzia majonzi ya kufungwa arsenal, nimecheka kinoma comment yako.
Hahami mtu,Kumbe tuko pamoja arsenal mkuu,yaani hii timu inalimbwata kali sana,tunapigwa kila uchwao lakini kuhama imekuwa ngumu :shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:mwee
Teh, teh, teh, hahahaaaaaa.kumwaga
chabo husaidia misuli ya macho kukaza...na kuwezesha macho kuwa sharp....... Ukipiga chabo mara kwa mara hutohitaji mawani maishani mwako
Heading yako inachanga, yaani utafikiri umeshuka nondo kumbe unauliza!!
Hivi unaonaje kama unamwangalia mwenzako anakula chakula kizuri halafu na wewe una njaa na unakipenda chakula hicho?