Faida za kulala uchi

Hasara za kulala uchi

1. Unakuwa katika hali ikiwa Nyoso atakutokea wakati umelala

2. Kwa maeneo ya znz ni kumraishia kazi popobawa.

3. Ukitokea moto utajikuta umemwaga radhi mbele ya watoto wako, mama yako, etc

4.
 
Kuna jamaa alikuwa ana mtoto mdogo so walikuwa wanalala chumbani na mwanao mtoto akilala ucku ndo wanapata wasaa wa kumenya tunda, siku moja wakiwa wamemaliza kumenya tunda jamaa akajisahau hakulala na Boxa na make akawa amewahi kuamka na kumuacha jamaa na mtoto bila jamaa kujua kama make ameamka, mtoto akaamka akaona jogoo LA baba limewika akaanza kuchezea huku jamaa akijua make anataka huduma kuna kugeuka laulaaa! Mtoto huko bize kucheza na jogoo
 
Nilipokuwa Advance kuna jamaa alikuwa analala uchi mwanzo mwisho watu tulikuwa hatujastuka sasa kuna kipindi watu wametoka kupiga msuli usiku, jamaa blanket ilikuwa imedondoka chini sasa na lile baridi la Kibosho jamaa kajikunja kama kijusi watu wakaamshana bweni zima. Wakamuamsha nae akaanza kushuka faida za kulala uchi hiyo topic ili geuka mada mpaka kuna kucha afu shule yenyewe Boys watupu.
 
Mi sikumbuki nililala lini nikiwa na.nguo. Mi sivai nguo yoyote na hata underwear. Ukweli najisikia huru kuwa uchi nikiwa nimelala.
 
basi mimi nipo kwenye nafasi nzuri sana aiseee,... nalala uchi yani kabisa sitaki kabisa hata chupi

Nasikia kuna majini wao kazi yao ni kutafuta wanawake wanaolala uchi wa mnyama wawaingilie,ukiona hukai na wanaume linakuhusu hilo,majini yanakutengenezea mazingira ya wewe kutopata wanaume ili waendelee kukugegeda,endelea tu kulala uchi uwe chakula ya majini,cc mshana jr
 
Dah!ctaki hata kukumbuka,kuna jamaa alivamiwa cku1 na majambaz akiwa amelala uchi na mke wake,majambaz walivutiwa sana muonekano mzur wa yule mwanamke,basi majambaz wakajisevia!
 
Mtu kama Lemutuz ma ule mtumbo ikitokea nymba imewaka lemutuz atoke nje akiwa uchi watu si watakimbia? Wengine tuko kama lemutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…