Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
basi mimi nipo kwenye nafasi nzuri sana aiseee,... nalala uchi yani kabisa sitaki kabisa hata chupi
mbona uaninitisha aisee mshana jr njoo uongee jambo hapaKwa mwanamke kulala Uchi wa mnyama, ni Hatari kwa afya yake kwenye Ulimwengu wa Roho. Inasadikika kuwa asilimia zaidi ya 80 ya wanawake wanao lala Uchi, licha ya kuingiliwa na Majini Mahaba, pia ndio Muda pekee Spiritual Husbands hupata nafasi ya kuwasawili Maumbile yao na wakigundua kuwa wanavutiwa kimaumbile, basi hawa spiritual Husbands huamua kufanya Makazi ya kudumu kwenye Mwili wako wewe dada unayependelea kulala Uchi wa mnyama kwa kisingizio cha Joto or something else.
Mara baada ya Huyu spiritual Husband kuhamia na kufanya Makazi kwenye Mwili wako, hutoka na kwenda kuwasimulia wenzake. Kinachofutia. Hukaribishana na kuanza kukuzalisha Spiritual Kids(Yaani ww unafanyikia kama kiwanda cha kuwazalia wao Watoto)
Ndio maaana Baadhi ya wanawake usiku huota wakiwanyonyesha watoto usiku, huku kiuhalisia akiwa Hana hata Mtoto.
Yako Mengi ya kuyaelezea hapa. Ila ngoja Mshaja JR naye aje atoe somo kuhusiana na hiki nlichokieongea hapa.
basi mimi nipo kwenye nafasi nzuri sana aiseee,... nalala uchi yani kabisa sitaki kabisa hata chupi
haahahahha...yoo crazyhapana utanipunyetia sitaki
ha ha hahhahaahahahha...yoo crazy
safi sanaa aiseee
aiseeeedu!! me siwezi kabisa kunasiku nilijaribu usingiz nilikosa kabisa niliis kama na papaswa
hapo tu nakukubali...hahahaaiseeee
ha a ahaha sawa mkuuhapo tu nakukubali...hahaha
ha a ahaha sawa mkuu
aiseeee[/QUOTEyan ata nikifanya yale mambo yetu nikimaliza nikioga na vaa bukta yang ndo narud kitandan kama mchezo ukianza tena navua nikimaliza mwendo uleule silali uchi
basi mimi nipo kwenye nafasi nzuri sana aiseee,... nalala uchi yani kabisa sitaki kabisa hata chupi
Ila kuna watu wanayaweza saa mbil unamkuta TUBELESS anangalia tvkazi unayo aisee
kuna popobawa wewe na siku nyumba ikiwaka moto au ukivamiwa na kaka majambazbasi mimi nipo kwenye nafasi nzuri sana aiseee,... nalala uchi yani kabisa sitaki kabisa hata chupi
kaka jambazi akinivamia namtisha .. ha ahhaha najimwanua mwanuuu ataogopakuna popobawa wewe na siku nyumba ikiwaka moto au ukivamiwa na kaka majambaz
ha hahahahaIla kuna watu wanayaweza saa mbil unamkuta TUBELESS anangalia tv