blackgold engineer
Senior Member
- Sep 8, 2013
- 107
- 70
Mchawi wa wanawake ni pesa full stop ata uwe na degree nyingi kama mugabe bila pesa kaz bure
utafiti wangu umeonyesha kua wanaume wengi waliofanikiwa katika maisha au kielimu hii imesababishwa sana na wao kua madomo zege,,wanaume wa jinsi hii hutumia muda wao mwingi sana kujibidiisha katika mambo yao ili wapate mafanikio na pia hua na imani kubwa ili waweze kuwavutia wanawake na kuwapata basi lazima wawe na mafanikio ama pesa,kwani kwao kuzungumza na mwanamke na kuonyesha hisia zao ni ngumu,,hivyo huamua kuzungumza kwa vitenda,,mafanikio yao ndio maneno ya kumvutia msichana...
hivi unafahamu kuna artificial domo zege mfano mimi hapa je nami niko kwenye kundi hilo ulilosema?utafiti wangu umeonyesha kua wanaume wengi waliofanikiwa katika maisha au kielimu hii imesababishwa sana na wao kua madomo zege,,wanaume wa jinsi hii hutumia muda wao mwingi sana kujibidiisha katika mambo yao ili wapate mafanikio na pia hua na imani kubwa ili waweze kuwavutia wanawake na kuwapata basi lazima wawe na mafanikio ama pesa,kwani kwao kuzungumza na mwanamke na kuonyesha hisia zao ni ngumu,,hivyo huamua kuzungumza kwa vitenda,,mafanikio yao ndio maneno ya kumvutia msichana...
udomo zege hauhusiani na mafanikio.
unaweza ukawa domo zege na hujafanikiwa tu.
Kwa hiyo sisi wenye kujifanya bijogoo kumbe tunajiletea matatizo ehh??