Kuna tafiti nyingine zilisema kwa kawaida mtu hujamba mara nyingi kwa siku hata kufikia mara 20 bila kujijua au kutoa harufu mbaya. Kwa hiyo hizo mara 3 ni zile unazojamba wakati unajitambua.
Wanasema kunauwezekano wa kujamba bila kujijua:-
-Wakati tumbo linapounguruma
-Wakati unapocheka
-Wakati unatembea n.k