THE LOVE COACH
Member
- Aug 26, 2025
- 63
- 114
NB.Epuka kujamiana wakati wa hedhi..
Hedhi ina nguvu sana katika maisha ya mwanamke na mwanaume ..
📌Ile hedhi ya kwanza binti anapovunja ungo ina umuhimu sana Kwa yule ambae anajitambua.......
📌 Damu hii ya kwanza Hupakwa kwenye kwapa na kwenye papuchi Hali hii huzuia nywele kuota ovyo na kwapa kunuka jasho. ..
📌Damu ya hedhi hutumika katika manifestation kama vile kupata pesa/kukubalika Kila mahali na n.k
📌Inaweza kutumika kumfunga mwanaume asichepuke/azame katika mapenzi na mwanamke /mwanaume kusambaratishwa na mwanamke Moja Kwa Moja.
NB.Mwanamke akiwa kwenye siku zake hapaswi kuchuma mboga au kupanda mbegu ardhini...
Je, unajua Hilo?!
✍️Mwanaume EPUKA kufanya tendo la ndoa na mwanamke akiwa katika siku zake ni hatari ......
Narudia tena mwanamke anaweza kutumia damu yake kufanya
/kukufanyia jambo lolote either liwe na positive impact/negative impact
Muwe na wakati mwema✍️
The coach Love....