Faida za "beer" ni zipi?

Faida za "beer" ni zipi?

bartenderznz

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2016
Posts
398
Reaction score
195
"Beer'' hutengenezwa kwa mchanganyiko wa nafaka, amira, sukari na ongezeko la uchungu ambao hupatika baada ya kuweka "hops" na baadae kufanyiwa "breweries". Kwa maana hio "beer"zote ni chungu kwa asili.

Kwa bahati mbaya nimeshindwa kupati kiswahili halisi cha "beer" kitu cha kuzingatia kwenye "beer" ni % ambayo mara nyingi huwa kati 4% mpaka 6% kwa "beer" za Kitanzania. Tatizo langu ni juu la ongezeko la watumiaji wa bidhaa hii kila kukicha.

Faida ya "beer"hasa ni zipi?
 
Huongeza harakati na kukuza mchecheto mwilini na kifikra hasa ukatapo bia 4 kwa uchache.
 
Hapo ndipo serikali inapata hela ya kuendeshea shughuli zake kutokana na kodi kubwa inayotozwa ambayo inalipwa na walevi wa bia.
 
Ushauri
2019-05-14%2007.41.51.jpeg
 
  • zinapunguza uchakavu wa fenicha za ndani kwa kuwa watumiaji hawakai nyumbani wanakaa bar hivyo kama ni viti vinaongeza muda wa maisha.
  • vinaongeza matumizi mengine ya nafaka kama ngano kwa kupikwa kivingine (chapati katika kimiminika)
 
Kabisa
  • zinapunguza uchakavu wa fenicha za ndani kwa kuwa watumiaji hawakai nyumbani wanakaa bar hivyo kama ni viti vinaongeza muda wa maisha.
  • vinaongeza matumizi mengine ya nafaka kama ngano kwa kupikwa kivingine (chapati katika kimiminika)
 
Naona wanywa beer wamekasirika ata kujibu hawataki. Faida zipo nyingi sana ila kubwa kuliko zote ni kutengeneza ajira, wenye bar, ma-bar maids, wauza michemsho, chips, mishkaki, wauza viti, glass, opener, tissue, wauza K, guest house, breakdown, ma-garage, traffic police, madaktari na wauguzi MOI, mortuary attendants, wauza majeneza, wachimba makaburi, wauza sanda yaani ni chain ya ajira.
 
Back
Top Bottom