Faida ya uwepo wa shetani duniani

young baba tz

Senior Member
Aug 30, 2017
100
137
Assalam aleykum wana jamvi habari za jioni
Kwanza kabisa ningependa kumshukuru Mwenyezi Mungu mpaka nakamilisha haka kautafiti kangu kadogo juu ya uwepo wa shetani duniani baada ya kujiuliza maswali kama kwanini shetani Mungu anamwacha shetani huyu atufanye tumkosee yeye muumba kwa nini asimwangamize hapo nkajua tu kutakuwa na sababu muhimu ambayo mungu anayo juu ya uwepo wa shetani nikabaini zipo faida mbalimbali za uwepo wa shetani dunia na kama asingekuwepo labda sisi binadamu tusinge weza kumjua mungu vizur sbabu hizo ni kama zifuatavyo

1.Kwanza shetani husababisha tufanye madhambi na maovu ambayo madhara ya hayo maovu husababisha sisi binadamu kumrudia Mungu kwa ukwel kwa mfano mtu mzinzi anaweza kupata hivi na kutokana na hilo janga atamrudia Mungu wake kwa wepesi zaidi kuliko mtu ambaye bado hayajamfika.

2.Historia ya shetani tu ni kitu tosha kuelezea juu ya uwezo na ufalme wa Mungu so uwepo wake hutufanya kuamini kuna Mungu mkubwa wa yote.

3. Pia shetani hutumika kustabilize matatizo mengi duniani kwa mfano mtu akim cheat mke wake humsingizia shetani na mambo yanaisha na maisha huendelea.

4.Kama shetani asingekuwepo duniani hii dunia ingekuwa sehemu ambayo iko lonely na boadi sana kungekuwa hakuna club, kasino na inshort watenda dhambi wasingekuwepo na huku Mungu kashasema lazima kuna watu wa motoni na peponi.

5 Pia kwa kiasi flani huyu shetani kupitia nguvu za giza anazowapa wanadamu kachangia maendeleo ambayo ni kinyume na maamrisho ya allah kwa mfano free mason skull and bones kwa kiasi flani kupitia nguvu za giza wameleta maendeleo

Ongeza na mengine kama unayo

Lakini ikumbukwe shetani huyu huleta majanga mengi katika ulimwengu na huweza kufanya mtu kuingia motoni so Mungu atuepushe
 
Namba 3. inaonesha hakuna shetani, na inazipangua namba nyingine zote zilizobaki.
 
Umuhim Wa kuwepo ibilic mkubwa pale anapompa mchaw nguvu Na cku ya mwish Wa maish ya uyo mchawi utafany watu waamin mungu yupo
 
unamwongelea yule ibilisi(shetani) aliyeitwa na Mungu na kuagizwa kwenda kumpa majaribu Ayubu!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom