Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,069
- 34,839
Mkuu Ndibalema Aliye kuambia kakudanganya mimi nina mkula mbona sijafa?Nilisikia ukila tango na asali ni sumu kali sana, unapoza uhai ndani ya dakika chache. Je ni kweli? MziziMkavu Please.
Nimependa english&swahili
Mh! Tango na asali? Hapa kuna ajenda gani?