Kazitunayo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2013
- 3,784
- 3,210
Shenzi kabisa si wanatuchongea kwa mapolisi eti tupimwe ulevi road
Halafu hawa wajinga hawajitambui. Ili kupandisha faida ndio maana wamepandisha bei ya bia?View attachment 879265
Faida ya Kampuni ya Bia#Tanzania (TBL) katika nusu ya kwanza ya mwaka 2018 imeshuka kwa asilimia 16 hadi TZS bilioni 64.5 kutoka TZS bilioni 77.13 katika kipindi kama hicho mwaka jana. Kushuka huko kumechangiwa na kuzuiwa kwa pombe za viroba, na mazingira magumu ya biashara.
Hizo sababu zilizotajwa hapo juu ndiyo hizo kweli au kuna sababu zingine?
Kwan tbl wao wanazalish viroba.watu hawanywi bia siku izi.mtu akachukua zake konyagi kubwa 8500 duka la jumla ma 7up yake Basi anazuuza Na bia Moja...kifup bia ni kusuuza tuuView attachment 879265
Faida ya Kampuni ya Bia#Tanzania (TBL) katika nusu ya kwanza ya mwaka 2018 imeshuka kwa asilimia 16 hadi TZS bilioni 64.5 kutoka TZS bilioni 77.13 katika kipindi kama hicho mwaka jana. Kushuka huko kumechangiwa na kuzuiwa kwa pombe za viroba, na mazingira magumu ya biashara.
Hizo sababu zilizotajwa hapo juu ndiyo hizo kweli au kuna sababu zingine?
Nadhani ni kote, bora watengeneze machupa makubwa tuHuku Mwanza bia zao zile ndogo ndogo zimepanda bei kutoka Tshs1,500/= sasa ni Tshs.1.700/= kwa chupa moja😡😡😡😡😡😡
jamani mbona mnatuchanganya kipindi jiwe alipokutana na wafanya biashara nadhani mwezi wa nne mwaka huu akasema ameongea na mtendaji mkuu wa tbl kuwa toka wamefungua kiwanda cha bia Tz miakaa hiyo hakuna miaka ambayo mauzo yao yamepanda kama kipindi hiki cha miaka mitatu!!!watu tuna bisha tukasema haiwezekani kwani hali halisi ya unywaji wa bia mtaani tunauona,nyumbu wakaja juu!!hivi huwa wanasema uongo ili iweje lakini??uchumi ni namba
Sio mwanza tu chikira,ni kote nadhani maana hata dar bei ni hyo hyo.Huku Mwanza bia zao zile ndogo ndogo zimepanda bei kutoka Tshs1,500/= sasa ni Tshs.1.700/= kwa chupa moja😡😡😡😡😡😡