Faida ya mshahara mzuri kwa waalimu

Faida ya mshahara mzuri kwa waalimu

Supervision

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2016
Posts
265
Reaction score
203
Habarini ndugu zangu wa JF.Nimeamua kuleta bandiko langu baada ya tathimini niliyoifanya kwa hawa ndugu zetu walimu.
Bila kupoteza muda naomba nirudi kwenye hoja,faida za kuongezea mishahara waalimu ambazo ni kama ifuatavyo:
01.Kuinua mtu wa chini.Ikumbukwe kuwa walimu wapo kila kijiji hivyo unapoongeza mshahara kwa walimu unaongeza kitu kikubwa.Ujue kama kijiji kina waalimu kumi au ishirini na ukawapa shilingi milioni moja na kuendelea ujue kuna milioni zaidi ya kumi zipo kijijini hapo.Walimu hawa watapeleka pesa zao kwa wafanya biashara wadogowadogo watanunua mafuta ya kupikia,soda,sukari na vingine vingi.Lakini kama haitoshi waalimu wengi hujihusisha na kilimo hivyo wale watu wanaowalimia kupanda na kuvuna watajipatia pesa,na kadiri anavyoongezewa pesa ndivyo atakavyo lima zaidi.Hapa mtu wa chini atakuwa anajipatia kipato na kuongeza mzunguko wa pesa mjini na kijijini kwani hata mjini waalimu ni wengi zaidi.Watu wanaotegemea ajira kutokana na mishahara ya walimu wataongezeka kwani sasa mwalimu anapata zaidi hivyo anapofanya zaidi katika kilimo au kazi nyingineyo ujue vibarua wake wanaomfanyia huongezeka na kujipatia pesa ama wanaomuuzia vitu watapata zaidi na kupelekea kuongeza mzunguko wa pesa.

02.Kuwaongezea walimu mishahara mizuri kutafanya wengi kusomea ualimu na kufanya walimu wawe kila mahali.Yaani siku zote waalimu hukubali kuwa kinachowafanya wawe chini siyo kazi mbaya,bali hudharaulika kwasababu ya maslahi madogo.Uchumi mdogo huwafanya wadharaulike.

03.Itaongeza hamu ya kazi.Siku zote maslahi humfanya mtu awe tayari kufanya kazi usiku na mchana.Naukitaka kuamini tazama walimu wa private hupenda kazi zao na kufanya kwa mashindano lakini mwalimu huyohuyo wa private aliyekuwa akafaukusha saba ukimpeleka shule za serikali hufanya kazi chini ya kiwango tatizo ni maslahi.

04.Kuongeza pato la taifa kupitia kodi kwani mwalimu anapolima mazao na kuuza ataongeza pato kupitia kodi na akianzisha mradi endapo ataweza kupata pesa nzuri kutokana na mshahara wake ataajiri watu katika mradi wake na kulipa kodi.Kama kila kijiji kati ya waaalimu kumi,watano watafungua biashara basi ajira nyingi zitatengenezwa na kodi kuongezeka.

Jamani hata posho kila katikati ya mwezi kama kada zingine hakuna!Ngoja niendelee;

05.Kuongeza ufaulu.Jamani kuna watu wengi waliingia kazini kwa kuupenda ualimu yaani tulikuwa na mwalimu anafurahia kufundisha hadi raha na anaeleweka ila baadaye akaonekana kukatishwa tamaa.Sasa watu hawa wapo wengi kama mwalimu wa shule ya msingi angekuwa na uhakika wa kupata milioni nina uhakika kunawalimu wangelala darasani wanakesha wakifundisha.
SALAMU KWA mama yetu Profesa Ndalichako.

06.Kusaidia mapinduzi ya viwanda nchini.Pale anapopata mshahara mzuri atalima sana yaani kama hupenda kulima pamba atalima mara dufu,kahawa,korosho,miti,na vingine Vingi.Kumbe basi hata malighafi za viwanda zitaongezeka na kuifanya nchi iharakishe katika mapinduzi ya viwanda.Chamsingi ni kufanya kilimo na biashara bila kukiuka sheria za Utumishi wao.

Nanyingine mnaweza kuongezea hapo kwenye comments:

Bila mwalimu hakuna Polisi,daktari,waziri wala RAISI.Mwalimu ni chanzo cha professional zote duniani News Alert: - Faida ya mshahara mzuri kwa waalimu
 
HAPA WANASIASA HAWAKUELEWI WANACHOJALI NI ULINZI KWANZA, Walimu hawana madhara Hata wakigoma. Ndio maana kada za maana wanaajiri jadi Sasa, zile za ovyo ovyo ndizo zimepigwa stop
 
  1. Nasikia this time walimu ni vilio tu maana wamekuta nyongeza ya mishahara kuanzia 2500 hadi 6000 tu...Na hawa ndo watu wanaotuandalia intellectuals na vijana wetu....Chakushangaza majeshi yetu yote wameongezewa posho ya 150000/= hadi kufikia 450000/= Na bado mishahara.
  2. Hii tutegemee itashusha viwango vya elimu km nchi hii haina uwezo basi ingesubiri hadi baadae kuliko kudemonize kada nyingine..imagine uyu unamuongezea 10,000 yule tena safari yake ya elimu iliishia kidato cha nne unamuongezea 150,000...This is very pathetic.....poleni ndugu zetu walimu ila kaeni mkijua adui wa mwalimu ni mwalimu mwenyewe....HAPA NJAA TU
 
Kama wewe ni rais ,halafu ukapuuza maslahi ya walimu ujue hulisaidii taifa kusonga mbele.Elimu ni ufunguo wa maisha.
 
Habarini ndugu zangu wa JF.Nimeamua kuleta bandiko langu baada ya tathimini niliyoifanya kwa hawa ndugu zetu waalimu.
Bila kupoteza muda naomba nirudi kwenye hoja,faida za kuongezea mishahara waalimu ambazo ni kama ifuatavyo:
01.Kuinua mtu wa chini.Ikumbukwe kuwa walimu wapo kila kijiji hivyo unapoongeza mshahara kwa waalimu unaongeza kitu kikubwa.Ujue kama kijiji kina waalimu kumi au ishirini na ukawapa shilingi milioni moja na kuendelea ujue kuna milioni zaidi ya kumi zipo kijijini hapo.Waalimu hawa watapeleka pesa zao kwa wafanya biashara wadogowadogo watanunua mafuta ya kupikia,soda,sukari na vingine vingi.Lakini kama haitoshi waalimu wengi hujihusisha na kilimo hivyo wale watu wanaowalimia kupanda na kuvuna watajipatia pesa,na kadiri anavyoongezewa pesa ndivyo atakavyo lima zaidi.Hapa mtu wa chini atakuwa anajipatia kipato na kuongeza mzunguko wa pesa mjini na kijijini kwani hata mjini waalimu ni wengi zaidi.Watu wanaotegemea ajira kutokana na mishahara ya waalimu wataongezeka kwani sasa mwalimu anapata zaidi hivyo anapofanya zaidi wanaomfanyia kazi ama wanaomuuzia vitu watapata zaidi na kupelekea kuongeza mzunguko wa pesa.

02.Kuwaongezea waalimu mishahara mizuri kutafanya wengi kusomea ualimu na kufanya waalimu wawe kila mahali.Yaani siku zote waalimu hukubali kuwa kinachowafanya wawe chini siyo kazi mbaya,bali hudharaulika kwasababu ya maslahi madogo.Uchumi mdogo huwafanya wadharaulike.

03.Itaongeza hamu ya kazi.Siku zote maslahi humfanya mtu awe tayari kufanya kazi usiku na mchana.Naukitaka kuamini tazama walimu wa private hupenda kazi zao na kufanya kwa mashindano lakini mwalimu huyohuyo wa private aliyekuwa akafaukusha saba ukimpeleka shule za serikali hufanya kazi chini ya kiwango tatizo ni maslahi.

04.Kuongeza pato la taifa kupitia kodi kwani mwalimu anapolima mazao na kuuza ataongeza pato kupitia kodi na akianzisha mradi endapo ataweza kupata pesa nzuri kutokana na mshahara wake ataajiri watu katika mradi wake na kulipa kodi.Kama kila kijiji kati ya waaalimu kumi,watano watafungua biashara basi ajira nyingi zitatengenezwa na kodi kuongezeka.

Jamani hata posho kila katikati ya mwezi kama kada zingine hakuna!Ngoja niendelee;

05.Kuongeza ufaulu.Jamani kuna watu wengi waliingia kazini kwa kuupenda ualimu yaani tulikuwa na mwalimu anafurahia kufundisha hadi raha na anaeleweka ila baadaye akaonekana kukatishwa tamaa.Sasa watu hawa wapo wengi kama mwalimu wa shule ya msingi angekuwa na uhakika wa kupata milioni nina uhakika kunawaalimu wangelala darasani wanakesha wakifundisha.
SALAMU KWA mama yetu Profesa Ndalichako.

06.Kusaidia mapinduzi ya viwanda nchini.Pale anapopata mshahara mzuri atalima sana yaani kama hupenda kulima pamba atalima mara dufu,kahawa,korosho,miti,na vingine Vingi.Kumbe basi hata malighafi za viwanda zitaongezeka na kuifanya nchi iharakishe katika mapinduzi ya viwanda.Chamsingi ni kufanya kilimo na biashara bila kukiuka sheria za Utumishi wao.

Nanyingine mnaweza kuongezea hapo kwenye comments:

Bila mwalimu hakuna Polisi,daktari,waziri wala RAISI.Mwalimu ni chanzo cha professional zote duniani
tumia neon walimu siyo waalimu! akiwa mmoja ni mwalimu na wingi wake ni walimu.
 
Who is mwalimu?
Kwa elimu gani aliyonayo?
Mtumishi wa serikali mwenye kiwango kidogo cha elimu ni wanajeshi,tupolisi na...?
Unavyotumia muda mwingi kukaa darasani ndo inaakisi mshahara wako!
 
Ok ni makosa kweli ila nadhani nimezingatia zaidi ujumbe
ni mwalimu au walimu(Nimeongeza "a"ambayo haina kazi hapo ila ujumbe uzingatiwe zaidi.
 
  1. Nasikia this time walimu ni vilio tu maana wamekuta nyongeza ya mishahara kuanzia 2500 hadi 6000 tu...Na hawa ndo watu wanaotuandalia intellectuals na vijana wetu....Chakushangaza majeshi yetu yote wameongezewa posho ya 150000/= hadi kufikia 450000/= Na bado mishahara.
  2. Hii tutegemee itashusha viwango vya elimu km nchi hii haina uwezo basi ingesubiri hadi baadae kuliko kudemonize kada nyingine..imagine uyu unamuongezea 10,000 yule tena safari yake ya elimu iliishia kidato cha nne unamuongezea 150,000...This is very pathetic.....poleni ndugu zetu walimu ila kaeni mkijua adui wa mwalimu ni mwalimu mwenyewe....HAPA NJAA TU
Wamekuta wapi hiyo nyongeza?
Nafahamu mishahara mipya inatoka mwezi huu.
 
Kwasababu hawawezi ongeza hadi zoezi la kuhakiki vyeti feki liishe
 
Faida ya kuwaongezea walimu mishahara mizuri!Habarini ndugu zangu wa JF.Nimeamua kuleta bandiko langu baada ya tathimini niliyoifanya kwa hawa ndugu zetu walimu.
Bila kupoteza muda naomba nirudi kwenye hoja,faida za kuongezea mishahara waalimu ambazo ni kama ifuatavyo:
01.Kuinua mtu wa chini.Ikumbukwe kuwa walimu wapo kila kijiji hivyo unapoongeza mshahara kwa walimu unaongeza kitu kikubwa.Ujue kama kijiji kina waalimu kumi au ishirini na ukawapa shilingi milioni moja na kuendelea ujue kuna milioni zaidi ya kumi zipo kijijini hapo.Walimu hawa watapeleka pesa zao kwa wafanya biashara wadogowadogo watanunua mafuta ya kupikia,soda,sukari na vingine vingi.Lakini kama haitoshi waalimu wengi hujihusisha na kilimo hivyo wale watu wanaowalimia kupanda na kuvuna watajipatia pesa,na kadiri anavyoongezewa pesa ndivyo atakavyo lima zaidi.Hapa mtu wa chini atakuwa anajipatia kipato na kuongeza mzunguko wa pesa mjini na kijijini kwani hata mjini waalimu ni wengi zaidi.Watu wanaotegemea ajira kutokana na mishahara ya walimu wataongezeka kwani sasa mwalimu anapata zaidi hivyo anapofanya zaidi katika kilimo au kazi nyingineyo ujue vibarua wake wanaomfanyia huongezeka na kujipatia pesa ama wanaomuuzia vitu watapata zaidi na kupelekea kuongeza mzunguko wa pesa.

02.Kuwaongezea walimu mishahara mizuri kutafanya wengi kusomea ualimu na kufanya walimu wawe kila mahali.Yaani siku zote waalimu hukubali kuwa kinachowafanya wawe chini siyo kazi mbaya,bali hudharaulika kwasababu ya maslahi madogo.Uchumi mdogo huwafanya wadharaulike.

03.Itaongeza hamu ya kazi.Siku zote maslahi humfanya mtu awe tayari kufanya kazi usiku na mchana.Naukitaka kuamini tazama walimu wa private hupenda kazi zao na kufanya kwa mashindano lakini mwalimu huyohuyo wa private aliyekuwa akafaukusha saba ukimpeleka shule za serikali hufanya kazi chini ya kiwango tatizo ni maslahi.

04.Kuongeza pato la taifa kupitia kodi kwani mwalimu anapolima mazao na kuuza ataongeza pato kupitia kodi na akianzisha mradi endapo ataweza kupata pesa nzuri kutokana na mshahara wake ataajiri watu katika mradi wake na kulipa kodi.Kama kila kijiji kati ya waaalimu kumi,watano watafungua biashara basi ajira nyingi zitatengenezwa na kodi kuongezeka.

Jamani hata posho kila katikati ya mwezi kama kada zingine hakuna!Ngoja niendelee;

05.Kuongeza ufaulu.Jamani kuna watu wengi waliingia kazini kwa kuupenda ualimu yaani tulikuwa na mwalimu anafurahia kufundisha hadi raha na anaeleweka ila baadaye akaonekana kukatishwa tamaa.Sasa watu hawa wapo wengi kama mwalimu wa shule ya msingi angekuwa na uhakika wa kupata milioni nina uhakika kunawalimu wangelala darasani wanakesha wakifundisha.
SALAMU KWA mama yetu Profesa Ndalichako.

06.Kusaidia mapinduzi ya viwanda nchini.Pale anapopata mshahara mzuri atalima sana yaani kama hupenda kulima pamba atalima mara dufu,kahawa,korosho,miti,na vingine Vingi.Kumbe basi hata malighafi za viwanda zitaongezeka na kuifanya nchi iharakishe katika mapinduzi ya viwanda.Chamsingi ni kufanya kilimo na biashara bila kukiuka sheria za Utumishi wao.

Nanyingine mnaweza kuongezea hapo kwenye comments:

Bila mwalimu hakuna Polisi,daktari,waziri wala RAISI.Mwalimu ni chanzo cha professional zote duniani News Alert: - Faida ya mshahara mzuri kwa waalimu[/QUOTE]
 
Ni kweli kabisa mtoa mada
Waalimu wakiwa na kipato (mshahara)mkubwa itasaidia sana hasa katika wakati huu tulionao
 
Wamekuta wapi hiyo nyongeza?
Nafahamu mishahara mipya inatoka mwezi huu.
ilisemwa wapi mishahara mipya mwezi huu? ninacho fahamu ni kuwa zoezi la uhakiki wa wafanyakazi hewa ndilo litaisha mwezi huu au litaenda sambamba na ongezeko la mshahara?

vipi bajeti iliyo pitishwa ina kina cha kutosha kuongeza mishahara?
 
Muulize BINARY NO maswali haya.
 
  1. Nasikia this time walimu ni vilio tu maana wamekuta nyongeza ya mishahara kuanzia 2500 hadi 6000 tu...Na hawa ndo watu wanaotuandalia intellectuals na vijana wetu....Chakushangaza majeshi yetu yote wameongezewa posho ya 150000/= hadi kufikia 450000/= Na bado mishahara.
  2. Hii tutegemee itashusha viwango vya elimu km nchi hii haina uwezo basi ingesubiri hadi baadae kuliko kudemonize kada nyingine..imagine uyu unamuongezea 10,000 yule tena safari yake ya elimu iliishia kidato cha nne unamuongezea 150,000...This is very pathetic.....poleni ndugu zetu walimu ila kaeni mkijua adui wa mwalimu ni mwalimu mwenyewe....HAPA NJAA TU
WEWE BURE KABISA TATIZO HAUFUATILII AU UNAPOTOSHA KWA MAKUSUDI,NAOMBA NIKUKUMBUSHE HAKUNA NYONGEZA YA MSHAHARA ILA NI PUNGUZO LA MAKATO YA KODI {PAYE} UMENISOMA HAPO?
 
Back
Top Bottom