Faida ya maziwa mgando mwilini

allina

Member
Mar 7, 2014
76
13
Hivi kuna chakula gani kipo ndani ya maziwa mgando(mtindi) na nini faida yake mwilini?
 
km ni she, ni mazur coz yana bacteria wazur wanaodaidia kumaintain mazingira ya uke. na wale wagonjwa wa hepatitis b ni mazur kwao kupunguza makali y ugonjwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom