Faida ya matangazo kwenye Majarida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Faida ya matangazo kwenye Majarida

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Mbushuu, Aug 30, 2012.

 1. Mbushuu

  Mbushuu JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 990
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 180
  Habari memberz wote wa jukwaa hili,me naomba msaada wenu juu gharama za matangazo kwenye majarida au magazines coz nna mpango wa kuanzsha jarida langu ambalo litakuw likigawiwa bure kwa wasomaji.Gharama ya kuendsha jarida hili nategemea hela za matangazo dats y nkahtaj kujua gharama za matangazo pia kama mtanisaidia njia za kupata wadhamini lyk hotelz n' makampun ya simu.Shukrani
   
 2. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #2
  Aug 30, 2012
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,117
  Trophy Points: 280
  Mkuu ni wazo zuri sana. Ila ninavyo jua mimi ghalama za matangazo kwenye majarida zinategemeana na mambo mengi sana.
  1.ukubwa wa tangazo
  2. Langi
  3.page lilipo kama ni nje ya jarida ndani au nyuma
  4.eneo gazeti linapo sambazwa
  So unaweza anzisha kwa kutafuta makampuni ambayo utakiwa unayatangazia bidhaa au huduma yao. Na ni vizuti gazeti likawa na makara zingine ili ku jtia wasomaji na ni lazima utafute njia nzuri za kusambaza
   
 3. Mbushuu

  Mbushuu JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 990
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 180
  KOMANDOO;
  Shukrani xana mkuu kwa kunfumbua macho
   
Loading...