Faida ya maji mwilini

Faida ya maji mwilini

thanks again and have you

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2023
Posts
230
Reaction score
426
Maji yana faida nyingi katika mwili ikiwa ni pamoja na kusaidia umeng,enyaji wa chakula.huboresha hali ya viungo na misuli ,maji yanaweka ubongo katika hali nzuri zaidi ya ufanisi zaidi hivyo kunywa maji ya kutosha kunamuwezesha kufikiria vyema zaidi ,husaidia kupunguza uwezekano wa kupata baadhi ya magonjwa Kama mafua na kusaidia kupona Figo,matatizo ya ini ,baadhi ya saratani na magonjwa mengine .unapopungukiwa maji mwilini mwili huwa katika kiwango Cha chini kuliko kinachotarajiwa kwa mwili kufanya vizuri.ishara kuu nne zinaonyesha mwili wako umepungukiwa na maji ni uchovu,kuvimbiwa na kukosa choo au kupata choo kigumu ,Ngozi kavu na kuumwa mwili,Dalili zingine ni kuhisi kiu ,mdomo kukauka ,kukosa mkojo au kiasi kidogo Cha mkojo na wakati mwingine kuwa na rangi iliyokolea sana na harufu Kali,udhaifu wa misuli na kuhisi kizunguzungu.
 
Watu wengi hasa wafanyakazi na wafanyabiashara hawanywi maji wanakunywa maji ya manati.
 
Back
Top Bottom