Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 877
Wakuu
Naombeni kufahamishwa faida ya kula Ugali asubui, kuna sehemu moja apa mtaani kwetu kila siku asubui watu wanakula Ugali.Afu wengi wanaonekana ni Watu wasomi.
Sasa leo nimemskia mmoja wao akisema eti watu wanakosea sana kula Ugali mchana, eti mchana atutakiwi kushiba sana
Je kiafya kuna usahihi wowote juu ya ili?