📌 Faida za Kukata Mikia kwa Nguruwe (Piglets):
Karibu kwenye elimu ya huduma bora kwa piglets wako.
🗓️ Muda sahihi wa kukata mikia: Siku ya 3 hadi 5 baada ya kuzaliwa.
👉 Zoezi lifanywe mapema kabla ya mfumo wa neva kuwa na hisia kali, na kabla ya mikia kuanza kuwa migumu.
---
âś… Faida Muhimu za Kukata Mikia:
1. Kupunguza tabia ya kung’ata mikia kwa wenzake – Huzuia majeraha na kuenea kwa maambukizi.
2. Huongeza usafi wa mazingira ya kufugia – Mikia mifupi haikusanyi uchafu kwa urahisi.
3. Hurahisisha zoezi la kupandisha – Inawezesha kuona vizuri sehemu za uzazi.
4. Kupunguza maambukizi ya bakteria – Hasa kwenye vidonda au mikwaruzo.
5. Kuboresha mwonekano wa mnyama – Mnyama huonekana nadhifu na mwenye afya.
6. Huongeza tija ya uzalishaji – Kwa kuwa wanyama hubaki wenye afya bora na kustawi haraka.
---
⚠️ Tahadhari:
Tumia kifaa safi, cha moto au chenye makali, na disinfectant kabla na baada ya kukata.
---
Kwa huduma bora za afya ya mifugo:
📞 0674740836 | 0792263640
Dr. Gilliard – Daktari wa Mifugo