Faida ya kukaa muda mrefu bila tendo

Faida ya kukaa muda mrefu bila tendo

kataip

Senior Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
150
Reaction score
93
Hi wakuu
Nauliza faida anayoweza kupata mwanamke alokaa muda mrefu bila tendo la ndoa mwaka 1 mpaka 2 au 3 hasa baada ya kujifungua.
Weekend njema.
 
Sehemu za siri zinajirudi na kuwa kama za mtoto mdogo.
 
Ana mume au aliipata hiyo mimba huko barabarani? Kama ana mume basi hakuna faida bali hasara ya kuletewa maambulizi from outside.
Kama huyo mtoi alimwokota barabarani, hata akikaa miaka 7 mbona bora zaidi amlee mtoi wake vizuri tuu? Kwani uzinzi na haswa ukiuendekeza na wanaume tofauti tifauti ni faida?? Achana nao we tulia utapata heshima
 
Hi wakuu
Nauliza faida anayoweza kupata mwanamke alokaa muda mrefu bila tendo la ndoa mwaka 1 mpaka 2 au 3 hasa baada ya kujifungua.
Weekend njema.

Hakuna faida zaidi ya kujiumiza kwa wale walio oa tu bali kwa wale ambao hawajaoa kunafaida nyingi nk
 
Hi wakuu
Nauliza faida anayoweza kupata mwanamke alokaa muda mrefu bila tendo la ndoa mwaka 1 mpaka 2 au 3 hasa baada ya kujifungua.
Weekend njema.

Hiko kidudu chako kinaziba. Unatengeneza bikra ya pili.
 
Back
Top Bottom