Nimeuliza hivi kwa sababu chuoni kuna fomu ambazo hao viongozi wa institute of engineering wanagawa na unalipia tsh 5000 kwa ajili ya cheti bila mafunzo wala bila kufanya kitu chochote. Nilipo jalibu kuwauuliza walisema eti inasaidia kuwa registered na bodi ya engineering kwa urahisi je kuna ukweli wowote na naomba kuuliza je kuna faida yoyote kwa mwanafunzi wa engineering kuwa mwanachama au na cheti cha institute of engineering Tanzania?
