Faida ya fiesta

Mr Hero

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Posts
5,540
Reaction score
7,464
Wanandugu nimekuwa na maswali mengi bila majibu kuhusu hiki kinaitwa fiesta,
Wao wanaita msimu wa fiesta naona hata baadhi ya viongozi wanalinadi jambo hilo,
Sasa mimi Labda ushamba wangu wa kuishi muleba miaka yote,
Wajuzi nisaidieni kujua faida ya jambo hili LA fiesta Kama nchi au jamii tunafaidika nalo nini?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama jamii tunapata burudani...hata hii faida hukuigundua?
 
Ukiona hujui jambo ujue halikuhusu.
 
Burudani

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app

 
Kuna faida kwa wasaniii s wanalipwa halafu pia waandaaji kama vile tv na wengne wanafanya kama biasshara kupitia kw wananch mnapolipia kuingia,pia hao hao waandaaji wanalipa kode serikalin, ndo hvyo ueleaa wang

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Burudani kwa wananchi, faida kwa wafanyabiashara na kodi pia serikali inapata na fursa zingine za kiuchumi
 
Maswali ya vijana wa mikoani huwa yanafurahisha

Endelea kulima mkuu.
 
Wadhamini wa Tamasha hili wamelenga utangaza biashara yao.
Pia hutoa burudani kwa wateja na Mashabiki wa sanaa nchini hususan muziki.✔✔
 
MARUFUKU KUFANYA FIESTA USIKU MKOA WANGU...IN SOMEONE VOICE
 
Biashara gani inaonekana usiku
Kama unavojua kampuni iliyodhamini ni mawasiliaono kwahyo kuhamasisha biashara haichagui muda iwe usiku mchana au Asubuhi biashara hutangazwa.
Hahahahaha
Lakini pia unaweza chagua uende au usiende kutokana na maamuzi yako mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…