Faida ya CRDB Fahari Huduma

Faida ya CRDB Fahari Huduma

Sam 2013

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
484
Reaction score
492
Napenda kufahamu faida inayopatikana kwa Mawakala wa Fahari Huduma CRDB.

Kati ya Uwakala wa Benki na Uwakala wa Simu (M-Pesa na mingine), kipi kina faida zaidi?
 
uwakala wa BENKI huwezi ufananisha na vi sh 300 vya Miamala ya Simu,hivyo basi kama pesa unayo Fatilia uwakala wa BANK utanikumbuka mbele ya safari huko.
 
Back
Top Bottom