anzania MENDE amekuwa na soko kubwa sana maana MENDE mmoja anauzwa 500/=ambaye anatakiwa kuwa na gramm 5,ko kama utabahatika kuweza kuzalisha zaidi ya MENDE 1,000/ ndani ya wiki mbili unaweza pata pesa ndefu Sana kama 500/=×1,000/=(5,00,000/=)
Niliwahi na mimi kusikia hii.halafu alieileta alitaja mpaka na aina za mende takribani 30.mwenye hiyo link atupatie humu tuanze kupata uhondo huu wa biashara.