Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Pia kuwa na furaha kunaongeza sana life span ya binadamu ukilinganisha na yule anayenunanuna kila wakati. Kununa nuna kunakaribisha magonjwa mbali mbali ya hatari.
Nashukuru kusikia nina muda mrefu sana wa kuishi hapa duniani..
kutabasamu na kucheka jadi yangu 🙂
Pamoja na kusema mkuu afrodenzi anapenda kucheka lakini mimi huwa nikiiangalia picha yake ya avantar ya Mkuu Afrodenzi inaniogopesha inaonyesha kama ni mtu asiyependa kucheka kama mtu yupo vile serious au nasema uongo Mkuu BAK? hahahahahahah
hahahahah lol! Rubani hiyo ni kweli kabisa maana vicheko vyako vinaweza kumfanya hata aliyenuna aanze kucheka lol! Ubaki hivyo hivyo usibadilike.
hahahahah lol! Rubani hiyo ni kweli kabisa maana vicheko vyako vinaweza kumfanya hata aliyenuna aanze kucheka lol! Ubaki hivyo hivyo usibadilike.
Pamoja na kusema mkuu afrodenzi anapenda kucheka lakini mimi huwa nikiiangalia picha yake ya avantar ya Mkuu Afrodenzi inaniogopesha inaonyesha kama ni mtu asiyependa kucheka kama mtu yupo vile serious au nasema uongo Mkuu BAK? hahahahahahah
Picha yako ni nzuri ila inanitia wasiwasi lakini kuanzia sasa sikuogopi nakupenda usiwe na wasiwasi.hahahahahahah
Mzizimkavu umenimaliza kabisa yaani mimi nakuogopesha duhh
duhhh nimwachie tu BAK akujibu kwa kweli...
ila ningependa kusema unavyowaza kuhusu mimi ni
kinyume kabisa ya nilivyo...
Picha yako ni nzuri ila inanitia wasiwasi lakini kuanzia sasa sikuogopi nakupenda usiwe na wasiwasi.
Pamoja na kusema mkuu afrodenzi anapenda kucheka lakini mimi huwa nikiiangalia picha yake ya avantar ya Mkuu Afrodenzi inaniogopesha inaonyesha kama ni mtu asiyependa kucheka kama mtu yupo vile serious au nasema uongo Mkuu BAK? hahahahahahah
😛oa :biggrin: Na mimi pia nikikutana na wewe pia nitafurahi sana lakini usijali mimi sipo Tanzania nipo Ughaibuni ila mwanangu yupo hapo Dares-Salaam anasoma chuo kikuu anachukua kozi ya IT ukitaka kuniona mimi kama uko hapo Dar unaweza kumuona mwanangu ndio kama umeniona mimi unasemaje? ukitaka mawasiliano na mwangu nitakupa hata Mkuu J.F. MaxMello anamjuwa Mwanangu.Nikipata kukutana nawe siku moja itakuwa furaha yangu zaidi..
Hiyo avatar sana sana inaelezea nikiwa kazini hahaha lol
Namtania nilitaka nimsikie anasemaje mimi huwa ananivutia sana hapa J.F. afrodenzi Usijali Mkuu.lol! Mkuu Mzizi Mkavu hauchimbwi dawa sijui kama huyu Rubani anajua kununa saa zote yeye ni vicheko tu ambavyo mara nyingi vitakufanya nawe uanze kucheka halafu si vicheko vya unafiki kusema kweli. Ni kipaji alichopewa na Muumba wetu ambacho kinamfanya mara nyingi wakati ambapo anastahili kukasirika hakasiriki kutokana na jambo lililotokea ambalo lingestahili kumkosesha furaha.
😛oa :biggrin: Na mimi pia nikikutana na wewe pia nitafurahi sana lakini usijali mimi sipo Tanzania nipo Ughaibuni ila mwanangu yupo hapo Dares-Salaam anasoma chuo kikuu anachukua kozi ya IT ukitaka kuniona mimi kama uko hapo Dar unaweza kumuona mwanangu ndio kama umeniona mimi unasemaje? ukitaka mawasiliano na mwangu nitakupa hata Mkuu J.F. MaxMello anamjuwa Mwanangu.
:lol::lol::lol::lol:Mhhhh! Mkuu Mzizi Mkavu ni aje!? hahahahah lol! Nimecheka sana aisee hahahahahah lol!
Mkuu nimeweka Thread ya Ukiangalia sana TV inasababisha maradhi na kufa mapema umeiona mkuu? hebu bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doct...unasababisha-mtu-kufa-mapema-tujihadhari.htmlMhhhh! Mkuu Mzizi Mkavu ni aje!? hahahahah lol! Nimecheka sana aisee hahahahahah lol!
Mkuu nimeweka Thread ya Ukiangalia sana TV inasababisha maradhi na kufa mapema umeiona mkuu? hebu bonyeza hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doct...unasababisha-mtu-kufa-mapema-tujihadhari.html
inaonyesha bado wewe una nguvu kijana. mimi huwa napenda sana kutembea kwa miguu gym mimi ni mvivu kidogo mazoezi yangu huwa napenda kutembea umbali wa kilomita 3 kwenda na kurudi.Ndio maana mimi napenda kwenda club kujirusha kwa sana tu kwa masaa matano au sita halafu ukiingia gym mara tatu au nne kwa wiki basi inasaidia sana kujiweka katika afya njema.
Ndio maana mimi napenda kwenda club kujirusha kwa sana tu kwa masaa matano au sita halafu ukiingia gym mara tatu au nne kwa wiki basi inasaidia sana kujiweka katika afya njema.
Mheshimiwa MziziMkavu
Ningependa kuchukua nafasi hii kukupa shukrani zetu kwa kazi nzuri na kazi ngumu sana
unaofanya hapa Jamii Forum. Kutuletea thread zenye manufaa kwetu na wageni wanaoingia humu..
Ingawa sijibu thread zako nyingi ila nazisoma. wakati mwingine naenda kwenye profile yako
na kuchunguza thread gani ulitoa ikanipita ili nisome.. kila muda natafakari kama wewe ni Doctor?
ama mganga wa Jadi jibu sipati.. asante kwa kwanzi nzuri na asante kwa kuweka tabasamu kwenye nyuso zetu..
Be blessed
Afrodenzi