Faida na manufaa ya kucheka kwa binadamu

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
Manufaa ya kucheka.

Wanasayansi wamekadiria kwamba kucheka kwa furaha kwa nusu dakika ni sawa na kupumzika kabisa kwa dakika 45. Kuangua kicheko kunalingana na kufanya mazoezi ya viungo kwa dakika tatu, hali kutabasanu kwa uchangamfu mara kumi ni sawa na kufanya mazoezi

makali kama ya kuiga makasia kwa kutumia mashini kwa dakika kumi.

Manufaa mengine ya kucheka yanatia ndani kuongezeka mara tatu kwa kiasi cha hewa kinachovutwa ndani ya mapafu na vilevile

kuborashwa kwa mzunguko wa damu, umeng'enyaji, kuyeyushwa kwa chakula, utendaji wa ubongo, na kuondolewa kwa vitu vyenye kudhuru.

"Napendekeza kwamba ili uwe mwenye furaha, jambo la kwanza unalopaswa kufanya kila asubuhi ni kutabasamu na kumwonyesha mwenzi wako na watoto wako tabasamu, kama huna hata jamaa zako.

" Jifunze kUcheka unapokosea, na jaribu kuona mambo kwa njia nzuri hata wakati hali inapokuwa ngumu."

TAFADHALI UNAPOJIFUNZA KUCHEKA UMSICHEKE MZIZIMKAVU ALIYE TOA FAIDA ZA KUCHEKA.
:poa:focus:
 
Pia kuwa na furaha kunaongeza sana life span ya binadamu ukilinganisha na yule anayenunanuna kila wakati. Kununa nuna kunakaribisha magonjwa mbali mbali ya hatari.

Last edited by a moderator:

Nashukuru kusikia nina muda mrefu sana wa kuishi hapa duniani..
kutabasamu na kucheka jadi yangu :)
 
Last edited by a moderator:

hahahahah lol! Rubani hiyo ni kweli kabisa maana vicheko vyako vinaweza kumfanya hata aliyenuna aanze kucheka lol! Ubaki hivyo hivyo usibadilike.
Pamoja na kusema mkuu afrodenzi anapenda kucheka lakini mimi huwa nikiiangalia picha yake ya avantar ya Mkuu Afrodenzi inaniogopesha inaonyesha kama ni mtu asiyependa kucheka kama mtu yupo vile serious au nasema uongo Mkuu BAK? hahahahahahah
 
asante Captain..
usema ukweli kicheko au tabasamu ni
tamu zaidi pale unapokuwa unaongea au uko
na yule mwenye furaha ..

sasa ongeza bidii ili nisinune..
maelezo tafadhali..(unajua ninachoongolea) hahah lol :
)
 
Pamoja na kusema mkuu afrodenzi anapenda kucheka lakini mimi huwa nikiiangalia picha yake ya avantar ya Mkuu Afrodenzi inaniogopesha inaonyesha kama ni mtu asiyependa kucheka kama mtu yupo vile serious au nasema uongo Mkuu BAK? hahahahahahah

hahahahahahah
Mzizimkavu umenimaliza kabisa yaani mimi nakuogopesha duhh

duhhh nimwachie tu BAK akujibu kwa kweli...

ila ningependa kusema unavyowaza kuhusu mimi ni
kinyume kabisa ya nilivyo...
 
Picha yako ni nzuri ila inanitia wasiwasi lakini kuanzia sasa sikuogopi nakupenda usiwe na wasiwasi.
 
Pamoja na kusema mkuu afrodenzi anapenda kucheka lakini mimi huwa nikiiangalia picha yake ya avantar ya Mkuu Afrodenzi inaniogopesha inaonyesha kama ni mtu asiyependa kucheka kama mtu yupo vile serious au nasema uongo Mkuu BAK? hahahahahahah

lol! Mkuu Mzizi Mkavu hauchimbwi dawa sijui kama huyu Rubani anajua kununa saa zote yeye ni vicheko tu ambavyo mara nyingi vitakufanya nawe uanze kucheka halafu si vicheko vya unafiki kusema kweli. Ni kipaji alichopewa na Muumba wetu ambacho kinamfanya mara nyingi wakati ambapo anastahili kukasirika hakasiriki kutokana na jambo lililotokea ambalo lingestahili kumkosesha furaha.
 
Nikipata kukutana nawe siku moja itakuwa furaha yangu zaidi..

Hiyo avatar sana sana inaelezea nikiwa kazini hahaha lol
:poa :biggrin: Na mimi pia nikikutana na wewe pia nitafurahi sana lakini usijali mimi sipo Tanzania nipo Ughaibuni ila mwanangu yupo hapo Dares-Salaam anasoma chuo kikuu anachukua kozi ya IT ukitaka kuniona mimi kama uko hapo Dar unaweza kumuona mwanangu ndio kama umeniona mimi unasemaje? ukitaka mawasiliano na mwangu nitakupa hata Mkuu J.F. MaxMello anamjuwa Mwanangu.
 
lol! Mkuu Mzizi Mkavu hauchimbwi dawa sijui kama huyu Rubani anajua kununa saa zote yeye ni vicheko tu ambavyo mara nyingi vitakufanya nawe uanze kucheka halafu si vicheko vya unafiki kusema kweli. Ni kipaji alichopewa na Muumba wetu ambacho kinamfanya mara nyingi wakati ambapo anastahili kukasirika hakasiriki kutokana na jambo lililotokea ambalo lingestahili kumkosesha furaha.
Namtania nilitaka nimsikie anasemaje mimi huwa ananivutia sana hapa J.F. afrodenzi Usijali Mkuu.
 
:poa :biggrin: Na mimi pia nikikutana na wewe pia nitafurahi sana lakini usijali mimi sipo Tanzania nipo Ughaibuni ila mwanangu yupo hapo Dares-Salaam anasoma chuo kikuu anachukua kozi ya IT ukitaka kuniona mimi kama uko hapo Dar unaweza kumuona mwanangu ndio kama umeniona mimi unasemaje? ukitaka mawasiliano na mwangu nitakupa hata Mkuu J.F. MaxMello anamjuwa Mwanangu.

Mhhhh! Mkuu Mzizi Mkavu ni aje!? hahahahah lol! Nimecheka sana aisee hahahahahah lol!
 
Ndio maana mimi napenda kwenda club kujirusha kwa sana tu kwa masaa matano au sita halafu ukiingia gym mara tatu au nne kwa wiki basi inasaidia sana kujiweka katika afya njema.
inaonyesha bado wewe una nguvu kijana. mimi huwa napenda sana kutembea kwa miguu gym mimi ni mvivu kidogo mazoezi yangu huwa napenda kutembea umbali wa kilomita 3 kwenda na kurudi.
 
Mheshimiwa MziziMkavu

Ningependa kuchukua nafasi hii kukupa shukrani zetu kwa kazi nzuri na kazi ngumu sana
unaofanya hapa Jamii Forum. Kutuletea thread zenye manufaa kwetu na wageni wanaoingia humu..
Ingawa sijibu thread zako nyingi ila nazisoma. wakati mwingine naenda kwenye profile yako
na kuchunguza thread gani ulitoa ikanipita ili nisome.. kila muda natafakari kama wewe ni Doctor?
ama mganga wa Jadi jibu sipati.. asante kwa kwanzi nzuri na asante kwa kuweka tabasamu kwenye nyuso zetu..

Be blessed
Afrodenzi
 
Ndio maana mimi napenda kwenda club kujirusha kwa sana tu kwa masaa matano au sita halafu ukiingia gym mara tatu au nne kwa wiki basi inasaidia sana kujiweka katika afya njema.

hahahahahahah ngoja nicheke nakupita tuuu..
Hapo pa gmy nakubaliana nawe 110%
huko kwengine nafunga meno na mdomo hahah lo
l
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mheshimiwa MziziMkavu

Ningependa kuchukua nafasi hii kukupa shukrani zetu kwa kazi nzuri na kazi ngumu sana
unaofanya hapa Jamii Forum. Kutuletea thread zenye manufaa kwetu na wageni wanaoingia humu..
Ingawa sijibu thread zako nyingi ila nazisoma. wakati mwingine naenda kwenye profile yako
na kuchunguza thread gani ulitoa ikanipita ili nisome.. kila muda natafakari kama wewe ni Doctor?
ama mganga wa Jadi jibu sipati.. asante kwa kwanzi nzuri na asante kwa kuweka tabasamu kwenye nyuso zetu..

Be blessed
Afrodenzi

Mkuu huyu anajitahidi sana katika kutufahamisha mambo mbali mbali ya kula vyakula bora ili kuweza kukinga afya zetu.
 
Back
Top Bottom