Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 2,515
- 4,230
Shida ipo tu mkuu sema tunapima na uzito piaHivi kumbe kuna watu hawana shida na hela eh
Uzito unapimia JF? By the way Gari jipya unamaanisha 0km?Shida ipo tu mkuu sema tunapima na uzito pia
Anamaanisha ni jipya kwenye mboni za macho yake.Uzito unapimia JF? By the way Gari jipya unamaanisha 0km?
Ha ha ha! Kuliko kuendesha uber kwa kutumia gari binafsi ni bora angefanya hata biashara ya Chips mtaani kwaoAnamaanisha ni jipya kwenye mboni za macho yake.
Lakini kuliko kui park tu ni bora ikamwingizia kipatoHa ha ha! Kuliko kuendesha uber kwa kutumia Gari binafsi Ni Bora angefanya hata biashara ya Chips mtaani kwao
Huyo rafiki yako aliyekushawishi yeye ana gari? Kama analo, analitumia kama uber? Yeye ni driver wa uber? Alishawahi kuwa driver wa uber au alishafanya biashara hiyo?
Kama jibu la swali mojawapo hapo juu ni hapana, achana na hilo wazo. Usipende kupokeapokea ushauri kutoka kwa watu wasio na uzoefu wowote na jambo wanalolizungumzia.
Wakuu habari
Leo nimekutana na mtu amenishawishi kuigeuza gari yangu binafsi kuwa uber, Naomba kufahamu je inalipa? Gari yangu ni mpya sio kwamba nina shida sana na pesa bali amenishauri kwamba kwa muda ambao silitumii gari basi liwe barabarani kama uber. Binafsi sitoweza kuendesha kama dereva wa uber hivyo lazima nitamkabidhi dereva kwa mkataba, Je, vipi kuhusu usalama wa chombo changu? Naomba wenye uzoefu na hii biashara mnishauri. Nawasilisha
Kama huna shida sana na hela si uliache gari lipaki tuu.Ya nini kuanza kuuliza uliza risk tena za uber?Wakuu habari
Leo nimekutana na mtu amenishawishi kuigeuza gari yangu binafsi kuwa uber, Naomba kufahamu je inalipa? Gari yangu ni mpya sio kwamba nina shida sana na pesa bali amenishauri kwamba kwa muda ambao silitumii gari basi liwe barabarani kama uber. Binafsi sitoweza kuendesha kama dereva wa uber hivyo lazima nitamkabidhi dereva kwa mkataba, Je, vipi kuhusu usalama wa chombo changu? Naomba wenye uzoefu na hii biashara mnishauri. Nawasilisha
Kama huna shida sana na hela si uliache gari lipaki tuu.Ya nini kuanza kuuliza uliza risk tena za uber?