Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,514
- 23,696
Kila mwanamke ashawahi kua mchepuko/mchepukwa kwenye mahusiano katika hatua fulani, kuna baadhi wabishi watakataa hili. Kua mchepuko muda mwingine hujihisi mpweke, ila una faida zake, kama vile kua mtaalamu wa mahusiano pindi utakapofikia tamati, itakufungua macho juu ya tabia na uwezo wako kimahusiano.
FAIDA ZAKE:-
1) Huna hofu kwa jamaa kuchepuka chepuka;
Kwa sababu we mwenyewe mchepuko.
2) Huna kibarua cha kuwasiliana au kuonana na jamaa kila muda;
Hasa ukiwa hupendi kuchat au kuongea na simu mara kwa mara, au haumkubali jamaa kiviiile.
3) Hakuna usiri baina yenu;
Miongoni mwa vitu vinavyo sababisha kuvunjika kwa mahusiano ni usiri :- Watu wenye uhusiano wa mapenzi ya dhahiri hua vigogo wa kufichana mambo yao, kama vile marafiki wq jinsia chanya wanaowasiliana nao, kukutana nao sehem za starehe, wanao chepuka nao n.k. Ila ukiwa mchepuko haikupi shida, akijua asipojua potelea pote.
4) Bwana mchepuko anakukubali kinoma.
Mwanaume ili achepuke lazima avutiwe na jambo fulani kwa kimada ambacho mama mjengo hana, either umbo au uzuri au sauti n.k (Ujue umemzidi kete mama mjengo)
5) Una nguvu juu yake.
Una uwezo wa swala zima la kumkoroga maisha yake ya mahusiano pindi atakapo zingua, kwa lugha ya kisasa "unaweza ukamtumbua". Halafu ukampotezea wakati yupo kwenye kikaoongao cha sekeseke na first lady.
6) Utajitambua tabia, uwezo, ujanja na mtazamo katika mahusiano ya mbeleni.
7) Utaongeza ujuzi na ujanja chumbani.
Atakufundisha maufundi aliojifunza kule kwa mama mjengo, ukijumlisha na yako uliojifunza kwengine ( win win situation)