kwa hali iliyopo ni bora yabakie mawe na miti tu!WaTZ. mnajitayarisha kumalizana eenh!!? Faida muwape wadhungu.... nyie mujaze matuta !!!
Wasting capital !!
kwa hali iliyopo ni bora yabakie mawe na miti tu!
View attachment 288859
Jivunie chako
Umewahi kufungua computer au hata radio ukaona vifaa vya ndani vimetoka makampuni mangapi tofati tofati duniani...
Hivi vitu vya kisayansi kwa zaidi ya nusu vifaa hutoka nchi au mashirika tofauti...hivyo silo ajabu kuagiza taa matairi nk
aikaruwa aikambeeeeeeeeeeeeenimekumbuka miaka ya 80 tunatoka moshi kwenda arusha na ma layland dizai hiyo hata kama hujui kuendesha gari unajua gari liko gia namba ngapi.....duh sasa hivi unapanda bus unasikia likipiga chafya tu hata gia zikiingia husikii...ama kweli nyumbu wamenikumbusha mbali
gonga like basi aikaruwanimekumbuka miaka ya 80 tunatoka moshi kwenda arusha na ma layland dizai hiyo hata kama hujui kuendesha gari unajua gari liko gia namba ngapi.....duh sasa hivi unapanda bus unasikia likipiga chafya tu hata gia zikiingia husikii...ama kweli nyumbu wamenikumbusha mbali
kwani tunajadili hilo nyumbu la madoa doa au hilo bus hapo.....