Fahari ya macho hafilisi duka

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,104


Kiukweli hata uangalie vp huwezi filisi au chukua kitu kwa macho, hata mzigo kama huu hata uangalie vp utaishia kufaidi au watoto wa mjini wanasema kula kwa macho. Mzigo kama hii kweli mwacheni Mungu aitwe Mungu, mengine tuwaachie Baba na Mama. Penye kusifiwa panapaswa kusifiwa.
CC. Asprin, PakaJimmy, Boflo, Elli, Bigirita, madame B, Fidel80, Mtambuzi, mzabzab, marejesho, Filipo, Mzee wa Rula, Jiwe Linaloishi, Bishanga, Mwita Maranya, Remmy FirstLady, FirstLady1 , The Boss , @FP, King'asti, Preta, KakaKiiza, watu8, Mokoyo, erickb58, Kipipi
 
Last edited by a moderator:
Hivi hii kweli haijafanyiwa maujanja ya kidigitali?
Kuna mtu ashawahi kukutana na raia wa aina hii aisee?...nawajua vyema WAMERU, lakini kwa huyu kuna sentimeta kadha zimezidi!
 
Hivi hii kweli haijafanyiwa maujanja ya kidigitali?
Kuna mtu ashawahi kukutana na raia wa aina hii aisee?...nawajua vyema WAMERU, lakini kwa huyu kuna sentimeta kadha zimezidi!

Mkuu hii si ya mchina wala ya mkandarasi wa maabara hii ya kuzaliwa nayo, hebu nipe maujanja ya hao WAMERU niweke kambi huko mpwa.
 
Halafu watu ooooh 'wanawake wanene this and that'...hapana chezeya mahips na wowowo bana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…