Fahari ya kijuha

Fahari ya kijuha

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,000
Reaction score
828,764
Huwa tunapoze kama watu ambao mambo yetu yako njema sana tuna magari tumejenga tunafanya kazi za maana sana tuna wachumba bomba sana ndoa zetu hazina matatizo tuna akili sana na tu werevu kupita wote Why??? Hii ni fahari ya kijuha be real
 
Shida inabidi zifichwe kama nyeti za nyangumi
 
Unataka tuonyeshe shida nje nje ili iweje?

Zisionyeshwe njenje bali ni kuwa halisi! Unakaa kwamtogole sema nakaa kwamtogole usizuge kwa kusema nakaa kijitonyama
 
Ha ha ha ha sahihi kabisa kaka yani humu kila MTU ana gar, anakaa uzungun ana Fanya kazi na ana mshahara mnono, wakati si kweli

Na ndo maana kuna watu wanadhani wana Jf ni watu so special wanaoishi kwenye dunia nyingine kabisa
 
mshana jr ni kweli lakini shida kuzitaja hadharani....hapana , bora sifa .za kijinga ....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom