Llio 002
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 1,639
- 2,086
UTAFITI: Watu wanaochelewa kulala wana uwezekano mkubwa wa kufa mapema kuliko wale wanaowahi kulala
> Utafiti huo umechambua sampuli ya watu laki 5 wenye miaka 30 hadi 73 waliofuatiliwa tabia za ulalaji wao kwa zaidi ya miaka 6.
Ombi langu kwa wale wote watakaosoma uzi huu nawaomba tuwahini kulala jamani ili tuchelewe kufa