for life
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 3,395
- 4,433
Tajiri mwenye KFC yakeeeYupo Kiduku Lilo nafasi ya 15
Tajiri mwenye KFC yakeeeYupo Kiduku Lilo nafasi ya 15
Sasa hivi amerudi kwenye "zero" na kuikimbia nchi na anatakiwa kueleza "uhalali wa mali na fedha alizonazo".Yupo wapi Isabella dos santos
Duh! Hatari sanaSasa hivi amerudi kwenye "zero" na kuikimbia nchi na anatakiwa kueleza "uhalali wa mali na fedha alizonazo".
Utajiri wake kama mtoto wa Rais wa Angola ulitokana na upendeleo na ufujaji wa mali ya Serikali.Rais liyemrithi baba yake amembana kila kona kuanzia fedha zilizo katika mabenki ya ulaya na kutaifisha mali zingine ndani ya nchi, na inasemekana ameikimbia nchi , ana kesi za "uhujumu uchumi na utakatishaji fedha"!!
Ohoo!! Utasababisha sasa na sisi wanyonge tuhoji kuhusu zile milioni 50 zetu za kila kijiji! Maana tulipigwa changa la macho mchana kweupe.wale mabilionea 100 tulioahidiwa na chama tawala wamefika wangapi?
🤔🤔🤔No 13. Pesa ya damu, Dewji vs Dr Fupe mkemia mkuu alivyocharangwa mapanga kisa kukataa kutoa kibari kwa Dewji kuingiza mchele mbovu nchini enzi za mzee ruksa, baada ya kifo cha Dr Fupe mchele ukaingia sokoni, ni vizazi na familia ngapi wameathirika kwa kansa ya huo mchele mbovu ukienda oceans road hospital ndo utajua madhara ya huo mchele. Leo ndiyo tajiri wa mfano Tanzania.
He is the great-grandson of Alhaji Alhassan Dantata, the richest West African at the time of his death in 1955Kumbe na aliko ndio walewale
Shukurani mkuu kwa kunirejesha kwenye hicho kitu.He is the great-grandson of Alhaji Alhassan Dantata, the richest West African at the time of his death in 1955
Dangote Posing By His Uncle’s Private Jet In The Early 80’s (Throwback PHOTO)
Aliko Dangote is one man that needs no introduction in Nigeria and in many parts of Africa. Dangote posing His fame is credited primarily to his status as the wealthiest African, and also the wealthiest black man in the world. Dangote was born on 10 April 1957 into a wealthy family. He is the...autojosh.com