Fahamu vyanzo vya utajiri wa Aliko Dangote na Mohammed Dewji pamoja na mabilionea wengine wa Afrika

Yupo wapi Isabella dos santos
Sasa hivi amerudi kwenye "zero" na kuikimbia nchi na anatakiwa kueleza "uhalali wa mali na fedha alizonazo".
Utajiri wake kama mtoto wa Rais wa Angola ulitokana na upendeleo na ufujaji wa mali ya Serikali.Rais liyemrithi baba yake amembana kila kona kuanzia fedha zilizo katika mabenki ya ulaya na kutaifisha mali zingine ndani ya nchi, na inasemekana ameikimbia nchi , ana kesi za "uhujumu uchumi na utakatishaji fedha"!!
 
Vyanzo vya utajiri vya Aliko Dangote na Mo Dewji ni urithi wa biashara za familia.
 
Sasa hivi amerudi kwenye "zero" na kuikimbia nchi na anatakiwa kueleza "uhalali wa mali na fedha alizonazo".
Utajiri wake kama mtoto wa Rais wa Angola ulitokana na upendeleo na ufujaji wa mali ya Serikali.Rais liyemrithi baba yake amembana kila kona kuanzia fedha zilizo katika mabenki ya ulaya na kutaifisha mali zingine ndani ya nchi, na inasemekana ameikimbia nchi , ana kesi za "uhujumu uchumi na utakatishaji fedha"!!
Duh! Hatari sana
 
wale mabilionea 100 tulioahidiwa na chama tawala wamefika wangapi?
Ohoo!! Utasababisha sasa na sisi wanyonge tuhoji kuhusu zile milioni 50 zetu za kila kijiji! Maana tulipigwa changa la macho mchana kweupe.
 
No 13. Pesa ya damu, Dewji vs Dr Fupe mkemia mkuu alivyocharangwa mapanga kisa kukataa kutoa kibari kwa Dewji kuingiza mchele mbovu nchini enzi za mzee ruksa, baada ya kifo cha Dr Fupe mchele ukaingia sokoni, ni vizazi na familia ngapi wameathirika kwa kansa ya huo mchele mbovu ukienda oceans road hospital ndo utajua madhara ya huo mchele. Leo ndiyo tajiri wa mfano Tanzania.
🤔🤔🤔
 
Kumbe na aliko ndio walewale
He is the great-grandson of Alhaji Alhassan Dantata, the richest West African at the time of his death in 1955

He is the great-grandson of Alhaji Alhassan Dantata, the richest West African at the time of his death in 1955

Shukurani mkuu kwa kunirejesha kwenye hicho kitu.
Sikufahamu hilo
 
Back
Top Bottom