• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Fahamu namna ya kutibu sukari aina ya pili

health

health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
325
Points
170
health

health

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
325 170
LOWGAR
Bidhaa hii inatibu kisukari aina ya pili(Diabetes mellitus).
KISUKARI
Kisukari cha aina ya pili kinatokana na lishe mbaya ya vyakula na ulaji mbaya wa vyakula pasipo na mpangilio.
Chakula kikiingia tumboni husagwa na kuwa sukari(Glucose) na kiwango cha sukari kikiwa juu kwenye damu unapata tatizo la kisukari.
Homoni zinazosawazisha kiwango cha sukari mwilini ziko aina mbili:

 1. Insulin
 2. Glucagon
Mambo yanayosababisha ugonjwa wa kisukari;

 • Kongosho halifanyi kazi yake vizuri, ikiwa inatoa insulin, glucagon kwa kiasi kidogo au kutotoa kiwango sahihi.
 • Kula vyakula vyenye sukari nyingi
 • Kutofanya mazoezi
 • Kurithi kutoka kwenye ukoo
 • Matatizo ya figo, pressure ya kupanda
 • Uzito mkubwa.
KISUKARI CHA KURITHI
Ugonjwa huu ni kongosho halijitengenezei insulin kubwa, hivyo kufanya mtu kutegemea

 • Kuchoma sindano za kuongeza insulin
 • Kutumia vidonge vya insulin.
DALILI ZA KISUKARI AINA YA PILI

 • Kujisikia uchovu mara kwa mara bila hata ya kufanya kazi
 • Kukojoa mara kwa mara
 • Kupungua uzito wa mwili
 • Kuhisi kiu mara kwa mara
 • Kupunguza uwezo wa kufanya tendo la ndoa(wanaume)
ATHARI ZA KISUKARI

 • Kupungua uwezo wa kuona
 • Kupungua nguvu za kiume au kukosa kabisa
 • Pressure ya kupanda
 • Kutopona vidonda kwa haraka
 • Matatizo ya miguu.

Mwenye matatizo ya kisukari atumie product hizi

 • LOWGAR
 • REVIVE


REVIVE
Bidhaa hii imetengenezwa na mimea aina mbili ambayo ni Epim-edium na Gin-sen. Bidhaa hii inawasaidia sana wanaume kuamsha hisia za mapenzi na kudumisha msisimko.
KAZI YA REVIVE

 • Kuongeza libido(ashiki au nyege)
 • Kutibu impotence(mahanisi)
 • Kuongeza muda wa uhai wa mbegu za kiume zinapotoka nje, zinatakiwa ziishi katiak joto 37’’C.
 • Kuweka mwili katika hali ya hisia ya kawaida
 • Kutibu maumivu ya kiuno
 • Kuchelewa kumwaga mapema(kufika kileleni)
 • Kutibu kutanuka kwa kibofu cha mkojo na kuzuia uwezekano wa kupata saratani ya kibofu cha mkojo.
 • Inaimarisha usafirishaji wa damu mwilini
 • Pia inasaidia kwa wenye pressure ya kushuka
 • Kuboresha utendaji wa tendo la ndoa
Ukiwa unahitaji ushauri au swali kuhusiana na product unaweza kunipigia kwa namba 0776491294 pia kuniandikia barua pepe kupitia ishealthy@hotmail.com
Gharama ya LOWGAR ni Tsh 64500/- na REVIVE ni 60500/- tu
 

Attachments:

Bitabo

Bitabo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Messages
1,903
Points
1,250
Bitabo

Bitabo

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2011
1,903 1,250
Za kukata tumbo huna au niseme kupunguza uzito nina mtoto mnene sana na mie mwenyewe sipendi mwili nilionao hasa tumbo nilizaa kwa kupasuliwa sasa tumbo limekua kubwa no yangu 0688788001.
 
health

health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
325
Points
170
health

health

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
325 170
Za kukata tumbo huna au niseme kupunguza uzito nina mtoto mnene sana na mie mwenyewe sipendi mwili nilionao hasa tumbo nilizaa kwa kupasuliwa sasa tumbo limekua kubwa no yangu 0688788001.

MAGILIM

Inatokana na majina ya Magic-Slim, jina hili likabadilishwa na kuitwa Magilim.
Imetengenezwa kwa mimea kadhaa, mimea hiyo ni;

 • Seamen cassie
 • Cassia bark
 • Mullberry leaver
 • Fago fyrum tataricum
Ikiingia katika utumbo mdogo huyeyuka kuwa ute ute na gel husaidia kugandisha mafuta uliyokula ili yasitumike mwilini, na kufanya mwili kutumia mafuta yaliyoko wilini tu, hivyo kusaidia kupunguza mwili na uzito.
Ikiingia kwenye utumbo mkubwa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na chumvi chumvi zake.
Ini huwa inavunjavunja mafuta na kutengeneza;

 • Maji ya nyongo
 • Nguvu ya mwili(glucose)
 • Uric acid
Magilim ukiinywa inasaidia kugandisha maji ya nyongo na mafuta, pia husaidia kwenda kwenye damu kutoa sukari na uchafu kupitia kwenye figo.
Matokeo yake mwili hukosa nguvu kwa kutoa sukari na mafuta, kugandishwa pamoja na maji ya nyongo kwenye utumbo mkubwa na mdogo.
Kufanya mwili kulazimika kutafuta nguvu kwenye hifadhi zake, sehemu zenye mafuta mfano kitambi, ****** na mikononi wanawake. Wanaopunguza unene na uzito hivyo mwili unatengeneza kemikali inayosaidia kutoa mafuta kwenye mwili na yanasafirishwa na damu kupelekwa kwenye ini pale ambapo ini huvunjavunja yale mafuta na kutengeneza vitu vitatu; maji ya nyongo, nguvu ya mwili ana uric acid. Wakati huo maji maji ya nyongo yanazidi kugandishwa na mafuta kwenye utumbo mkubwa na mdogo.

 1. Uric acid na sukari inatoka kupitia figo kwenye mkojo na kufanya mwili unazidi kutoa mafuta kwenye hifadhi zake mwilini na kufanya mtu azidi kupungua(kukonda).
Magilim inasaidia kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu na kuzuia mwili kunyonya vyakula vya wanga kwenye utumbo mdogo na kutoa sukari kwenye damu kupitia figo, huleta faida kwa wagonjwa wa kisukari na wale wanaotaka kujizuia kupata matatizo ya sukari.
Magilim ikiwa kwenye ute ute(gel) kwenye utumbo inasaidia kusafisha utumbo mkubwa na mdogo na kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula.
KAZI YA MAGILIM

 • Kupunguza uzito na unene
 • Kusawazisha kiwango cha sukari kwenye damu
 • Kusafisha mfumo wote wa kusagia chakula
 • Inapunguza uwezo wa mwili kunyonya lishe
 • Kutoa sumu mwilini
 • Kutoa chunusi mwilini
 • Kutibu matatizo ya tumbo
 

Attachments:

Bitabo

Bitabo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Messages
1,903
Points
1,250
Bitabo

Bitabo

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2011
1,903 1,250
Nimekuelewa vema kaka nitaipataje na dz yake ni kwa mda gani muhimi nikajua nitagharimu sh ngapi ili nijipange kwani kutumia doz yote ndiyo nitafanikiwa kupata lengo tarajiwa asante.
 
health

health

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2012
Messages
325
Points
170
health

health

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2012
325 170
Nimekuelewa vema kaka nitaipataje na dz yake ni kwa mda gani muhimi nikajua nitagharimu sh ngapi ili nijipange kwani kutumia doz yote ndiyo nitafanikiwa kupata lengo tarajiwa asante.
Tutaweza kuwasiliana kwa namba 0776491294 kuhusu namna utakavyoweza kuipata kuhusu namna utakavyoitumia pia. Gharama yake ni Tsh 62500/- tu
 
Bitabo

Bitabo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Messages
1,903
Points
1,250
Bitabo

Bitabo

JF-Expert Member
Joined Sep 27, 2011
1,903 1,250
Ok thx nitakucheck soon.
 

Forum statistics

Threads 1,402,808
Members 530,989
Posts 34,405,556
Top