Fahamu namna ya kuishi na mpenzi anayependa fedha

Ila wanawake wengi wa enzi hizi n vichaa kwa kwel, mweh! Yaani ata ukianza nae mahusiano, unajitabiria sifiki nae mbali. Na cjui kama wana keep time kufikiria maisha yao, maana nahic wanawake n wazururaji tu. Nina kipindi cha TV soon nitaki launch ambacho profile yake itakuwa about relationship especially ya mwanaume na mwanamke, nime experience mambo haya n wakat wa kusonga mbele, watu wamechoka na ubabaishaj usiokuwa na tija na siku zinakwenda tuuuuu
Itakua TV gani?
 
Kwa kweli ni ajabu sana. Siku hizi mwanamke na mna mawazo ya kuishi pamoja bila kuchelewa atakuambia nijazie gari mafuta tukatembee, kidogo atasema tairi zimeisha. Mpaka najiuliza hivi hawa watu wana akili kweli? Sababu inapoelekea mwanamke kama huyu ni kumwacha tu. Sijui ni makuzi mabaya? Au kuna watu wamemwambia kwamba mwanaume ni wa kumtegemea tu bila huruma? Wakoje hawa watu?
 
Back
Top Bottom