Fahamu,mwanamke haridhiki wala hatosheki

yani yupo radhi awajaze ndugu zake nyumbani na kuwasamini kuliko hata watoto wake....
 
Unaposema wanawake hawaridhiki unamaanisha nn?? kama unamaanisha kugegeda basi wewe ndo utakuwa huwafikishi wanakotaka kufika, lkn ukimpandisha kale kamlima ukamfikisha kileleni mbona atakuita baba, yaani wanaridhika kinoma mpaka utamwonea huruma, sasa sijui unataka mpaka ashindwe kuamka kitandani asubuhi ndo utajua karidhika au mpaka azimie, looo.
mkuu hizo ni ndoto za abunuwasi,the more she get......the more she need,ukimpa mabao yenye quality atataka na quanitity na type nyingine pia,miaka ya leo hatuoi ila tunaishi na watu,sasa kama kugegeda ndo ishu kuna maisha mengine pia mbali na mgegedo,imagine leo unaumwa mwaka mzima hata kunyenyua mguu huwezi,ataishi na ww?
moja ya viumbe visivyo tabirika ni wanawake,
 
Tulejee ktk biblia labda,

Ni sehem gan ya biblia imeandukwa umridhishe mwanamke?

Au unapofunga ndoa kuna kipengele kimeandikwa umridhishe mkeo au mpenz wako?

Hizi za kuridhishana ni mbwembwe zetu wanadam tu

Adam na hawa kwenye bustan ya heden walikua wagongana tu habari za kuridhishana mmezianzisha saivi

Mi napigaga tu asiporidhika bas mi mzigo nishateremsha habari kwisha
 
Upo sahihi kabisa, KUMRIDHISHA NI MTAZAMO WAKO, ni kama ambavyo Kanisa Catholic lina mtazamo kwamba ma Sister wao na Mapadri hawana mahusiano, NI MTAZAMO TU! Ila anachofikiria huyo mwanamke kukuhusu wewe ni GIZA NENE ambalo hakuna mtu anayelijua!

"KUMRIDHISHA NI MTAZAMO WAKO, ni kama ambavyo Kanisa Catholic lina mtazamo kwamba ma Sister wao na Mapadri hawana mahusiano, NI MTAZAMO TU!"..... Naomba ufafanuzi hapa Mkuu
 
Usijidanganye mwanamme mwenzangu kuwa kuna siku utamridhisha mwanamke kwa lolote,kuanzia kwenye kumgegeda mpaka masuala ya kawaida,
wanawake wengi wao akili yao kama kuku,ukimpa mchele juu atapekua na chini zaidi.
Kwa hiyo mwanamme mwenzangu penda 45 tu,zingine jipende mwenyewe au wapende wanao,kama hayajakukuta siku yakikukuta ndio utajua.
Usione baadhi ya watu wanaishi single man ukawaona wajinga,waulize wakwambie.
Na nyie wanawake mnahangaika nini? Ona sasa mnafanywa incubator,mnazalishwa mtu anasepa,wewe unalea mtoto akifika miaka saba baba mtoto anabeba mwanae,utazalishwa na wangapi?
Mwanadamu yeyote yule aridhiki wala hatosheki si mwanamke wala mwanaume.
 
Mwanamke haridhiki ata kidogo ukimpa laki moja mwenzio akimpa milion imekula kwako
Utajiona unamkuna vizur(kumgegeda) lakini akipata mkunaji mzuri zaid yko basi ujue imekula kwako huyo ndo mwanamke.
Lakini sisi wanaume tunakauli mbiu yetu moja "mashimo tofaut utamu ule ule
 
Japo kuna ukweli lkn sio wanawake wote wako hivyo. Kuna wengine tunaridhika kbs na kutulia. Ukipata mtu anaekupenda na kukujali then vya nini kuanza kutanga tanga tena.
 
Hawa wanawake mnaokuja kuwalalamikia hapa kila siku si muwaache? Hivi ni lazima kuwa na mwanamke? Haiwezekani kuishi bila wao? Upuuzi tu.
 
"KUMRIDHISHA NI MTAZAMO WAKO, ni kama ambavyo Kanisa Catholic lina mtazamo kwamba ma Sister wao na Mapadri hawana mahusiano, NI MTAZAMO TU!"..... Naomba ufafanuzi hapa Mkuu

Namaanisha unapose wamridhisha wa kwako ni mtazamo, yeye ndo anajua so huwezi msemea
 
Back
Top Bottom