Fahamu mbinu mbalimbali unazoweza kuzitumia ili kunenepa au kuongeza uzito wa mwili (Kilo)

Kweli mna raha wakati mimi nawaza nakataje hizi 15kgs nilizoongezeka ww unawaza kuzitafuta dah ila dunia hii sio fare kabisa .! Kila jion naziangalia raba wee narudi kulala
Fanya intermittent fasting,16-8 yaani masaa 16 hakuna kula then masaa 8 unaruhusiwa kula.

Ni rahisi kama hivi,kuanzia saa 12 jion mpk saa 6 asubuhi hakuna kula chochote zaidi ya kunywa maji then kuanzia saa 6 hio kwenda mpk saa 12 jion unaweza kula mara 2.Fanya hii kama life style yako kwa miezi michache tu utaleta matokeo.

It works 100%.
 
Uwii..navyoabudu kula sasa🥲..ngoja nipone nianze...kwakweli inakatisha tamaa...
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 mpaka sasa, urefu wangu ni 180cm, uzito wangu ni 60kg mimi ni mwembamba sana ( bones) hali hii naona ni kero kwangu kwa sababu wembamba siyo asili yangu ni hali ambayo imeanza kunipata tangu nilivyofikisha miaka 25 nilivyokuwa chini ya hapo nilikuwa nina kg kati ya 64-66kgs...
Kula hovyo, acha roho mbaya na hakikisha huna virusi vya ukimwi
 
Kwa kweli sipendezwi na mwili wangu kua mdogo mdogo na mrefu yaan naona kama kuna mahali nilikosea

Sijui shida nini sasa maana kama kula ni mara tatu na hua sipitishi mda au ni sababu tumezaliwa mapacha kwamba mwenzangu kaninyonya Mwili sielewi yaani

Niko thin japo nimenawiri mashavu tu natamani hata nibwie hamira niwe mnene cha ajabu kuna siku nilipania nikapiga plate mbili na coca 3 ila tumbo halijawa kubwa na baada ya muda niko sawa tu, nilijua ni mihangaiko ya elimu nimemaliza ila niko vilevile tu

Kama kuna mtaalamu ningependa kujua nini kinasababisha "kuna mahala nilisoma et ni metabolisim inafanyika harakaharaka" napo sijaelewa kwa undani alimaanisha nini
Nini nifanye ili nipate kunenepa mwili mzima yani nisiwe na haka kamwili kadogo

Watu wanasema kuridhika ila sielewi niridhikaje yani

Mimi sio mwandishi mzuri ila natumai mmenielewa
 
Habari Wakuu

Ni njia zipi mtu atumie ili kukuza mwili. Simaanishi kunenepa kuwa kibonge namaanisha kuwa na mwili wa wastani ambao unaweza kuvaa na kuwa na mwonekano mzuri. Unajua kuna ule wembamba ambao hata unaondoa mwonekano mzuri hata ukivaa.

Hata kununua nguo unasumbuka kupata saizi yako. Hapa pia simaanishi wembamba wa ugonjwa bali maumbile tu. Yani kama mnene anavyoweza kupunguza unene naomba kujua mwembamba anavyoweza kuongeza mwili

Asante
 
Taja umri wako?taja una kilo ngapi mwilini ili tukupe ushauri ule chakula gani upate mwili.
 
Habari Wakuu

Ni njia zipi mtu atumie ili kukuza mwili. Simaanishi kunenepa kuwa kibonge namaanisha kuwa na mwili wa wastani ambao unaweza kuvaa na kuwa na mwonekano mzuri. Unajua kuna ule wembamba ambao hata unaondoa mwonekano mzuri hata ukivaa.

Hata kununua nguo unasumbuka kupata saizi yako. Hapa pia simaanishi wembamba wa ugonjwa bali maumbile tu. Yani kama mnene anavyoweza kupunguza unene naomba kujua mwembamba anavyoweza kuongeza mwili

Asante

Ili unenepe, kula milo mitano kwa siku, mitatu ya kawaida na miwili midogomidogo katikati ya ile mitatu mikubwa. Ili usinenepe kizembe unaweza fanya mazoezi pia, pushup nyumbani (anza na pushup 20 kila jioni ongeza taratibu kila siku, ukiweza kupiga 200 kwa jioni moja basi fanya mara tatu tu kwa wiki) au unaweza kwenda gym.. ila kwenye mlo hapo ndo pa muhimu
 
Huu Uzi umejaa madini ya hatari Sana.Wanaohangaika kuongeza unene waje hapa wachukue nondo
 
Back
Top Bottom